Yaan tatizo ni kubwa nafkir kuna mengi yanachangia. Kwanza, unakuta wanafunzi wengi hasa waliokulia bush uko anakuja kukutana na choo chaku flash akiwa chuo , ni wachache sn wana adapt na kua wastaarabu otherwise ni disaster.
Pia kwenye taasisi za umma ,yaan kuna ile hali ya "who cares?" Hakuna accountability kuwa tukikuta mazingira yako hv nan awajibishwe . Chuo kinaajir kampun yakufanya usaf ila hakuna mwenye time ya kukagua kiwango cha usaf kinachofanywa hasa mtu akiwa na interest na icho ki company . We got a long way to go .... Nenda Udom, Udsm , Cbe whatever u can name ,ni aibuuuuu . Sijui foreign students kwny vyuo vyetu hua wanatuonajee !!!!