Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Huu muongozo haulezi wanafunzi watakaaje madarasani na kawaida wanafunzi kubanana ndani ya darasa moja ni hatua gani itachukuliwa kuwalinda wanafunzi hasa upande wa social distance?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatumia mafarasa kuanzia form one hadi form give ambao hawapo shuleni au form five tu kwa shule zenye high school tu.
Chadema mnapenda kupotosha kila kitu hadi mnakuwa misukule
Nyie CCM, mnalindwa na majambazi, wachawi, mafisadi na wezi wa kila aina.Corona tumeishinda acheni wasiwasi
Nyie CCM, mnalindwa na majambazi, wachawi, mafisadi na wezi wa kila aina.
Mnaua, mnateka, mnamwaga damu zisizo na Hatia. Sasa mnataka kufanya mauaji ya halaiki/ kimbari madarasani
umemuelewa mleta mada ? ana hoji msongamano sio madarasa yapi yatatumika mkuu, naomba nikukumbushe tuna walimu wachache katika shule nyingi je mwalimu ataweza kujigawa kufundisha darasa moja mara 3 ? , na nikukumbushe kuna shule hazina o level na zina madarasa machache kwa mfano kule namtumbo Songea kuna Shule inaitwa Pamoja High school ina madarasa matano tu yenye ukubwa wa kama sebule za kawaida hizi za kitanzania kila moja, unakuta form 6 wapo zaidi ya mia mbili je unadhani hakuna msongamano ? haya kuhusu wa vyuo vikuu unakuta room moja wanalala watoto 6-8 na hapo waenda club wapo wanaenda kujiachia huko club kwenye misongamano unadhani Corona itawaogopa ?Acha ujinga wanatumia mafarasa kuanzia form one hadi form give ambao hawapo shuleni au form five tu kwa shule zenye high school tu.
Chadema mnapenda kupotosha kila kitu hadi mnakuwa misukule
Walikaaje na form five of course corona haipo tena Tanzaniaumemuelewa mleta mada ? ana hoji msongamano sio madarasa yapi yatatumika mkuu, naomba nikukumbushe tuna walimu wachache katika shule nyingi je mwalimu ataweza kujigawa kufundisha darasa moja mara 3 ? , na nikukumbushe kuna shule hazina o level na zina madarasa machache kwa mfano kule namtumbo Songea kuna Shule inaitwa Pamoja High school ina madarasa matano tu yenye ukubwa wa kama sebule za kawaida hizi za kitanzania kila moja, unakuta form 6 wapo zaidi ya mia mbili je unadhani hakuna msongamano ? haya kuhusu wa vyuo vikuu unakuta room moja wanalala watoto 6-8 na hapo waenda club wapo wanaenda kujiachia huko club kwenye misongamano unadhani Corona itawaogopa ?
Jenga hoja,watu wakijadili ya maana wewe unaiingiza chadema why?Wanatumia madarasa kuanzia form one hadi form give ambao hawapo shuleni au form five tu kwa shule zenye high school tu.
Chadema mnapenda kupotosha kila kitu hadi mnakuwa misukule.
mkuu ni kujibana sana madogo wanajibana kiasi kwamba hakuna nafasi ya kupita,mtu akitaka kutoka class anasogeza meza za wenzie,kuhusu corona kuisha siwezi kusema lolote maana leo nimeona kuna marehemu ameacha taarifa kwamba atakufa kwa corona,taarifa kaacha jana leo kafa,ujumbe huo upo mitandaoni so mimi siwezi kusema corona ipo au imeisha,time will tellWalikaaje na form five of course corona haipo tena Tanzania
nimemjubu nikampa na mifano hai,akinibishia na mimi basi tumuache huyo mtu mkuuJenga hoja,watu wakijadili ya maana wewe unaiingiza chadema why?
Jenga hoja makini
Nyie CCM, mnalindwa na majambazi, wachawi, mafisadi na wezi wa kila aina.
Mnaua, mnateka, mnamwaga damu zisizo na Hatia. Sasa mnataka kufanya mauaji ya halaiki/ kimbari madarasani.
kidumu chama cha mapinduziHapana Mkuu umeandika uzushi tu
By the way corona tumeishinda hakuna mauaji wala nini
kidumu chama cha mapinduzi
Yani unataka kusema hadi wanavyuo nao wanahitaji mwongozo wa kutokwenda club?umemuelewa mleta mada ? ana hoji msongamano sio madarasa yapi yatatumika mkuu, naomba nikukumbushe tuna walimu wachache katika shule nyingi je mwalimu ataweza kujigawa kufundisha darasa moja mara 3 ? , na nikukumbushe kuna shule hazina o level na zina madarasa machache kwa mfano kule namtumbo Songea kuna Shule inaitwa Pamoja High school ina madarasa matano tu yenye ukubwa wa kama sebule za kawaida hizi za kitanzania kila moja, unakuta form 6 wapo zaidi ya mia mbili je unadhani hakuna msongamano ? haya kuhusu wa vyuo vikuu unakuta room moja wanalala watoto 6-8 na hapo waenda club wapo wanaenda kujiachia huko club kwenye misongamano unadhani Corona itawaogopa ?
hahahaha unaona sasa tatizo lako boss ? hujanielewa mimi sijasema hivo nilichomaanisha ni kwamba sehemu kama club hua kuna msongamano inaweza kuwa sehemu moja wapo ya kupatia Corona ikaletwa chuoni kwa room mates na baadae chuo kizima,kumbuka WHO imetoa tahadhari juu ya mikusanyiko ya watu wakati huu,Yani unataka kusema hadi wanavyuo nao wanahitaji mwongozo wa kutokwenda club?
karibu sana mkuu Bia yetu. ukiwa na time zaidi tutafika mpaka virunga National park ujionee Okapi,baada ya hapo tunaenda park de la nsele ,ila usilete tu stori za Siasa mkuu😂Kamanda nakuja province ya lubumbashi baada ya Uchaguzi unipokee