Mashushushu kazini kuua waandishi?

Mashushushu kazini kuua waandishi?

Kwa Sasa Siwezi Sema Chochote Wacha Vyombo Huru Vifanye Kazi Zake , Mimi Nikiongea Nitaonekana Mchonganishi Na Kwa Kweli Sina Amri Ya Kusema Chochote Toka Kileleni

Ni nani anayetoa hiyo AMRI tukuombee, ili tusikie mawazo yako. Na kama wakikuchelewesha kukupa AMRI tunaomba utufanyie "favour" kama alivyofanya Mh. Sophia Simba (labda ameuza ng'ombe wote!!)
 
Kwa Sasa Siwezi Sema Chochote Wacha Vyombo Huru Vifanye Kazi Zake , Mimi Nikiongea Nitaonekana Mchonganishi Na Kwa Kweli Sina Amri Ya Kusema Chochote Toka Kileleni

Kwa statement kama nakubaliana na MWK kuwa Shy is more of them than us. hii inanikumbusha issue ya kina max maana kabla ya hapo bwana shy alikuja na story kuwa alikamatwa na watu akapelekwa kwenye nyumba ya mtu binafsi, perhaps ndio walimnunua by that time.
 
naombeni link ya alichoongea huyu bwana kwenye issue ya KUbenea. Halafu nadhani jina lake halisi lipo kwenye signature yake kama sijakosea. This guy asitishie watu hapa. He is very cheap snitch!
 
Kwa Sasa Siwezi Sema Chochote Wacha Vyombo Huru Vifanye Kazi Zake , Mimi Nikiongea Nitaonekana Mchonganishi Na Kwa Kweli Sina Amri Ya Kusema Chochote Toka Kileleni

Chengez words........ walewale
 
Mimi nasimama na nilichosema hapa kuwa Shy is a snitch. Kama huamini soma yale aliyoandika wakati waandishi wa mwanahalisi wametishiwa kuuwawa. Au soma kile alichoandika ile siku ya huzuni ambapo vijana wadogo Mike na Max walikamatwa na polisi.

Bonge la snitch anayejipendekeza kwa vyombo vya usalama. Shy ni mtu wa kuogopwa kama ukoma.

Tufafanulieni jamani, wengine tumeachwa kando kidogo!
Kwa statement kama nakubaliana na MWK kuwa Shy is more of them than us. hii inanikumbusha issue ya kina max maana kabla ya hapo bwana shy alikuja na story kuwa alikamatwa na watu akapelekwa kwenye nyumba ya mtu binafsi, perhaps ndio walimnunua by that time.

Makubwa
 
Mfano Nikisema Sijui Chochote Kuhusu Hii Habari Naonekana Muongo Kwa Kweli Sijui Chochote Na Siwezi Kusema Chochote Mpaka Sasa Hivi Mpaka Nitakapo Pata Ruhusa Ya Kuongea Na Wahusika Katika Sehemu Zinazoruhusiwa Kisheria , Ningependa Kuongozana Na Mwandishi Mmoja Machachari Siku Hiyo Ili Aje Kuripoti

Kwa Sababu Nitakuwa Wired Kama Kawaida Yangu
 
Mimi nasimama na nilichosema hapa kuwa Shy is a snitch. Kama huamini soma yale aliyoandika wakati waandishi wa mwanahalisi wametishiwa kuuwawa. Au soma kile alichoandika ile siku ya huzuni ambapo vijana wadogo Mike na Max walikamatwa na polisi.

Bonge la snitch anayejipendekeza kwa vyombo vya usalama. Shy ni mtu wa kuogopwa kama ukoma.

NILIPOKUWA KULE YULE JAMAA ALINIAMBIA TUMEKUWA TUNAKUTAFUTA SANA NA LEO TUMEKUPATA - TUAMBIE UNACHOJUA
 
Kwahiyo mtu akionekana pale wizara ya mambo ya ndani basi yeye ni usalama wa taifa , kama anaishi kijitonyama anaonana na rafiki zake pale chagabite basi yeye pia ni mwanausalama ina maana tusiishi kule , tusiende kuonana na ndugu na jamaa zetu pale mambo ya ndani ?

Kwa ufupi pale Usalama kuna Classmate wangu - Tena Mwanamke tumetoka mbali na tunaenda mbali
 
naombeni link ya alichoongea huyu bwana kwenye issue ya KUbenea. Halafu nadhani jina lake halisi lipo kwenye signature yake kama sijakosea. This guy asitishie watu hapa. He is very cheap snitch!

USITUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO , WENZAKO WENGI WALITUKANA MAMBA NA MTO HAWAJAVUKA MPAKA LEO INABIDI SASA WATAFUTA NJIA ZINGINE ZA KUTOKEA HUKO UPANDE WA PILI WA BARA BARA
 
kuna baa moja mitaa ya k'ndoni ada estate wanapenda kuvinjari sana hawa watu wa TIS kama vipi watu wanaweza kwenda undercover, its easy kujua what they r up 2 manake wamekuwa more of hatari ya taifa so ni vizuri na siye tukajua mipango yao ya kighaidi kwa staili ya kishushushu, btw who is shy, kuna mtu yeyote hapa anaweza kutupatia insight juu ya mtu huyu.
 
Kwa Ufupi Mimi Ni

Male - Miaka 25

Kazi - Ninajihusisha Na Shuguli Nyingi Kwa Sasa Nitoka Kazini Nimerudi Chuoni Kuongeza Ujuzi Katika Masuala Ya Fore , Ila Nashugulika Sana Na Mambo Ya Computer , Ufundi , Uchunguzi , Kufundisha Na Mengi Yanayohusu Vifaa Vya Mawasiliano

Napenda - Kuogelea , Kusafiri , Kuchunguza ,kumwona Mwanamke Ninayempenda Mara Kwa Mara Na Kumpigia Simu Mara Kwa Mara .

Sipendi - Kwa Kawaida Sina Neno Sipendi Naamini Kila Kitu Kinafanywa Kwa Sababu Fulani Na Malengo Fulani .

Naishi Wapi - Naishi Dar Es Salaam Napenda Kuhama Hama Kila Baada Ya Miezi 3 Kwahiyo Sina Sehemu Maalumu Ambayo Ninaishi Zaidi Ya Miezi 3

Sasa Na Wewe Niambie Basi Mama Paroko Au Niandikie Katika Pm

Au Piga +255784 360204
 
Sio Kwamba Sieleweki Lakini Mimi Kwa Kawaida Ni Mchokozi Tena Sana Hata Wewe Siku Moja Naweza Kukuchokoza
 
Mimi Sihoni Mbaya Ya Kwa Waandishi Uchwara Kuuwawa Kwa Kuwa Ata Wao Wannauwa Watu Wengi Sana Kwa Kalamu Zao Hivyo Wapate Zawadi Yao Bila Shaka ,hukumu Kwa Mungu Tutakutana.
 
Shy amesema:

Mfano Nikisema Sijui Chochote Kuhusu Hii Habari Naonekana Muongo Kwa Kweli Sijui Chochote Na Siwezi Kusema Chochote Mpaka Sasa Hivi Mpaka Nitakapo Pata Ruhusa Ya Kuongea Na Wahusika Katika Sehemu Zinazoruhusiwa Kisheria , Ningependa Kuongozana Na Mwandishi Mmoja Machachari Siku Hiyo Ili Aje Kuripoti

Someni maandishi yake, kati kati ya mistari... "mpaka nitakapopata ruhusa kuongea na wahusika katika sehemu zinazoruhusiwa kisheria..."

Hizo sehemu ni zipi? Na hao wahusika ni nani?

So, yes, Shy is more of "them" than "us". Katuambia mwenyewe! He IS responsible to someone else, on a higher echelon!

LOL! 🙂
 
Back
Top Bottom