Masika imeanza...

Masika imeanza...

Masika imeanza, mvua inanyesha tangu jana mfululizo usiku kucha hadi dakika hii bado inanyesha.
Shemeji yenu kaenda kwao kwa ajili ya Pasaka maisha yamekuwa magumu sana. Tupeane mbinu mbadala kuepuka upweke na mvua hizi
mbinu zipi unawaza uzinzi tuu hapo!
 
Back
Top Bottom