Masika imeanza...

Masika imeanza, mvua inanyesha tangu jana mfululizo usiku kucha hadi dakika hii bado inanyesha.
Shemeji yenu kaenda kwao kwa ajili ya Pasaka maisha yamekuwa magumu sana. Tupeane mbinu mbadala kuepuka upweke na mvua hizi
Shemeji yetu ni yule mfanyakazi wa ndani au. Hongera kwa kupata demu maana ulikuwaga ukika na uzi uko single.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…