Matajiri Wanaamini Masikini Ni Mtu Mwenye Muda Mwingi Amekaa Na Kubweteka Hivyo Basi Kupelekea Kuwa Mvivu.
Ila Ukweli Ni Kwamba Hao Watu (Masikini) Wanaongoza Kwa Upambanaji Haswa Tena Anaweza Kuwa Mtu Ambaye Apumziki Kabisa Ila Kipato Hapatacho Hakikidhi Mahitaji Na Hapo Ndio Inaingia Ile Theory Ya "Poverty Circle" Inaelezea Namna Jamii Zenye Hali Duni (Umasikini) Zinavyombana Na Umasikini.
Ukisema Masikini Anapata Muda Mwingi Hivyo Kupelekea Kuwaza Ngono Muda Wote, Swali Huo Muda Anaupata Wapi Maana Wengi Wanapambana Kujikwamua Kutoka Kwenye Umasikini.
Mimi Naweza Kusema Sex Inaweza Kuwa Ndio Starehe Apatayo Binadamu Bila Kujali Ni Tajiri Au Masikini.