Masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri

Uzi ufutwe tu

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Tukamuulize mfalme Suleman....?
 
Hizi ni nyuzi za kifeminist kuendelea kumkandamiza mwanaume.

Maana ya mwanaume kuwa tajiri ni kwamba aweze kuwatumikia wanawake vizuri ila mwanaume mnyanduaji tu huyu hawezi watumikia wanawake cos wanawake kwake ni kiyoweo tu
 
We hupendi NGONO?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ngono ndio kila mtu anapenda wefamasiala kugirisi ww
 
Michezo ya matajiri hiyo hupenda kufanya mapenzi ya Threesome
 
Kuzini imekaa vibaya bana yani ungesema wanatomber tu juu ya bahari huko mwendo wa 10 some πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ngono ni starehe ya maskini hio inajulikana. Mtu mwenye kipato cha kawaida atavuta sigara, pombe au umalaya.

Mtu mwenye hela anawaza kuongeza zaidi mianya ya kipato muda mwingi. Akipiga faida zake anasafiri na familia yake kwenda kula bata dubai ,ulaya au mbuga za wanyama. Kugonga ovyo ni nadra sana kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…