Masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri

Masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri

Mimi hapa
1705433042223.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ila neno ngono limekaa kivibaya vibaya. Sema kufanya mapenzi bhana.

Hivi mtu anayekuwa busy na kazi anakosa hata muda wa kuwaza sex na kupeana utamu huyo unamtambuaje kama tajiri?? Huyo bado ni mpambanaji.

Matajiri wanapenda kutiana, wanakodi boat [emoji2928] wananunua hata wanawake 20 wanazini tu juu ya bahari huko hawana wasiwasi kabisa. Yaani matajiri mwanamke mmoja hatoshi wanataka 10+
Wewe ndie unatuelewa matajiri
 
Hapana mkuu sio wote. Maskini hujamiiana sana wakiamini ndio sifa maana hawana kingine. Makini huzaa sana wakiamini watoto ndio kila kitu na faraja kwao. Kuna kija mmoja aliwahi kuniambia kua "psea nikose, si bira niwe na watoto wengi" kauli za kimaskini skini hizo
Riziki utoa Mungu katika wengi hao yupo mmoja atainua familia.
Kutoka ni juhudi na nia na sio kukaa darasani.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kautafiti kangu kasiko rasmi nilikofanya mi mwenyewe ni kuwa masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri.

Masikini anapenda sana ngono kwakuwa muda mwingi amekuwa hana la kufanya yaani anakuwa yupoyupo tu.

Mara nyingi masikini anakuwa amepumzika hivyo mwili wake unakuwa na hamu ya ngono mara kwa mara.

Masikini wakati mwingi anakuwa hana mawazo mengi sana, mara nyingi hasumbui ubongo wake.

Huyu masikini anapenda ngono pia sababu huitumia kama faraja yaani anakuwa anajiburudisha maana hana pesa.

Hivyo huona kama sasa sina pesa, bora nijiburudishe na ngono, na huifanya sana sio kitoto yaani mnaelewa.

Kiumbe hiki masikini kinapenda sana mechi kali yaani ndio maana wake za matajiri wanakuwa wanakisaka sana.

Ukiangalia vijana wa kiume masikini ndio huwa na majimama na wanayapa mavituzi mpaka mashangazi yanachanganyikiwa.

Masikini ndio wanaongoza kwa kuzaa, yaani kiumbe hiki kikipiga tu goli lazima kifunge pamoja nakuwa halina pesa.

Mwanaume akiwa masikini ndo balaa na nusu yaani anawaza ngono Ile mbaya, akijifungia niapunyeto deile.

Ukikutana na mwanamke masikini basi ngono ndio mtaji wake, atadanga mpaka ngozi ya mwili inapauka.

Mwanamke huyohuyo masikini atazaa tutoto vingi sababu ya kupenda ngono.

Sasa usiombe mwanaume masikini akutane na kibinti cha shule yaani chapu mimba inanasia mazima.

Kwa upande wa wale matajirii wao mara nyingi wapo bize kusaka pesa, yaani wao ni bize haswa hawawazi ngono.

Matajiri bana wao wengi wao ngono wanaifanya kama ziada tu, yaani kujistarehesha sio ngono njaa.

Mawazo ya matajiri huwaza namna ya kufanikisha mipango yao ya kifedha, ndio maana wao kimoja tu wanalala.

Wengi wao walio matajiri akili zao huwa zinachoka, hivyo uchovu na ngono no vitu viwili tofauti kabisa.

Tajiri anaoa mke mzuri ila kumtimitizia haja zake za kingono hawezi, mke anatafuta masikini ampoze.

Ajabu ni kuwa tajiri hujiepulia pisi Kali lakini hawawezi kuzifikisha mlimani kwakuwa vichwa vinawaza pesa inapatikanaje.

Tajiri ngono imemshinda, yeye na pesa zake tu ngono ni ya msikini
Wewe ni tajiri au masikini?
 
Asante kwa uchambuzi wako.......kipindi fulani miaka ya nyumba aliwahi kukaririwa mchezaji fulani anaitwa Ronaldo Luis Nazario de kwamba akifanya mapenzi kabla ya mechi ndo hua anafunga magoli vp unazungumziaje hoja hii?
Swala la maskini kumpa mimba chap chap mtoto wa shule ni kwamba wale watoto wanafanya ngono kwenye siku zao za hatari hakuna uhusiano kwamba amefanya mapenzi na maskini ndio maana amepewa mimba kwa haraka!!!!
 
Matajiri Wanaamini Masikini Ni Mtu Mwenye Muda Mwingi Amekaa Na Kubweteka Hivyo Basi Kupelekea Kuwa Mvivu.

Ila Ukweli Ni Kwamba Hao Watu (Masikini) Wanaongoza Kwa Upambanaji Haswa Tena Anaweza Kuwa Mtu Ambaye Apumziki Kabisa Ila Kipato Hapatacho Hakikidhi Mahitaji Na Hapo Ndio Inaingia Ile Theory Ya "Poverty Circle" Inaelezea Namna Jamii Zenye Hali Duni (Umasikini) Zinavyombana Na Umasikini.

Ukisema Masikini Anapata Muda Mwingi Hivyo Kupelekea Kuwaza Ngono Muda Wote, Swali Huo Muda Anaupata Wapi Maana Wengi Wanapambana Kujikwamua Kutoka Kwenye Umasikini.

Mimi Naweza Kusema Sex Inaweza Kuwa Ndio Starehe Apatayo Binadamu Bila Kujali Ni Tajiri Au Masikini.
Hii example ni ya exception ila wengi kwakuwa hatuna miradi na mipango mingi basi hakuna namna.

Mungu hakunyimi vyote
 
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kautafiti kangu kasiko rasmi nilikofanya mi mwenyewe ni kuwa masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri. Masikini anapenda sana ngono kwakuwa muda mwingi amekuwa hana la kufanya yaani anakuwa yupoyupo tu. Mara nyingi masikini anakuwa amepumzika hivyo mwili wake unakuwa na hamu ya ngono mara kwa mara. Masikini wakati mwingi anakuwa hana mawazo mengi sana, mara nyingi hasumbui ubongo wake. Huyu masikini anapenda ngono pia sababu huitumia kama faraja yaani anakuwa anajiburudisha maana hana pesa. Hivyo huona kama sasa sina pesa, bora nijiburudishe na ngono, na huifanya sana sio kitoto yaani mnaelewa. Kiumbe hiki masikini kinapenda sana mechi kali yaani ndio maana wake za matajiri wanakuwa wanakisaka sana. Ukiangalia vijana wa kiume masikini ndio huwa na majimama na wanayapa mavituzi mpaka mashangazi yanachanganyikiwa. Masikini ndio wanaongoza kwa kuzaa, yaani kiumbe hiki kikipiga tu goli lazima kifunge pamoja nakuwa halina pesa. Mwanaume akiwa masikini ndo balaa na nusu yaani anawaza ngono Ile mbaya, akijifungia niapunyeto deile. Ukikutana na mwanamke masikini basi ngono ndio mtaji wake, atadanga mpaka ngozi ya mwili inapauka. Mwanamke huyohuyo masikini atazaa tutoto vingi sababu ya kupenda ngono. Sasa usiombe mwanaume masikini akutane na kibinti cha shule yaani chapu mimba inanasia mazima. Kwa upande wa wale matajirii wao mara nyingi wapo bize kusaka pesa, yaani wao ni bize haswa hawawazi ngono. Matajiri bana wao wengi wao ngono wanaifanya kama ziada tu, yaani kujistarehesha sio ngono njaa. Mawazo ya matajiri huwaza namna ya kufanikisha mipango yao ya kifedha, ndio maana wao kimoja tu wanalala. Wengi wao walio matajiri akili zao huwa zinachoka, hivyo uchovu na ngono no vitu viwili tofauti kabisa. Tajiri anaoa mke mzuri ila kumtimitizia haja zake za kingono hawezi, mke anatafuta masikini ampoze. Ajabu ni kuwa tajiri hujiepulia pisi Kali lakini hawawezi kuzifikisha mlimani kwakuwa vichwa vinawaza pesa inapatikanaje. Tajiri ngono imemshinda, yeye na pesa zake tu ngono ni ya msikini


Umasikini Ni kwanzia sh ngapi kushuka na utajiri Ni kwanzia sh ngapi
 
Maskini kwa matajiri wote hupenda ngono sana, mimi nadhani matajiri ndio zaidi sbb wao watanunua wanawake kisiri kila wakati bila hata mtu kujua na kuwa nao kingono, maskini ni kweli anapenda ngono ila hana mtaji au fedha za kumwezesha kufanya ngono kila wakati, maskini wengine ni shida sana hata kula ni tatizo huyo hata ngono hawazi tena anawaza atakula nini kila siku…!!

Fukara ndio ngono hawazi hata kidogo, yeye anawaza kesho nitakula nn jamani, fukara kara kara yeye hata hajui mapenzi ni nini wala hajui kabisa mwanamke mrembo ni yupi, yeye anawaza nitaishi vipi maana hana tumaini lolote mbele


Hivyo sio sahihi sana kusema maskini ndio huwaza ngono sana kuliko matajiri, inategemea, mfano Berlusconi wa Italy, alikuwa tajiri na fuska malaya kitombi firauni haoni ndani
 
Back
Top Bottom