OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mpira una matokeo ya kikatili sana. Magoli yote waliyofungwa Azam ni uzembe wa kipa na beki zake.Ni sawa wako kwenye form mbovu kwa sasa, lakini bado wana nafasi ya kufuta makosa na kurudi vizuri tena kama walivyoanza msimu. Pole kwao ndio mpira ulivyo.
Imekukera, Simba imebaki nafasi ya 2 mechi 13 migoli ya kufunga bweleleeeWana gundu toka Mwamedi fc
mpira una matokeo ya kikatili sana.Magoli yote waliyofungwa Azam ni uzembe wa kipa na beki zake
Nani aliwaambia walale uwanjani DK za mwishoni?