Nashuhudia hapa game ya Azam FC na Namungo. Dakika ya 91 Azam ikiwa mbele kwa goli 2-1. Zikiwa zimeongezwa dakika nne Namungo wakapata kona. Dakika ya 94 Kikoti anapiga kona maridadi kabisa Steven Seyi anasawazisha. Sey anakera sana, anachomekea halafu anawapungia mkono.
FT Azam Fc 2- 2 Namungo
Namuona Nado analia, wachezaji wa Azam FC wamelala chini hawana nguvu. Mpaka nimeshikwa simanzi kwa huruma. Ikumbukwe Azam Fc toka wafungwe na Utopolo Le Dera. Hawajashinda mechi yeyote. Biashara, Gwambina na leo Namungo zote droo.
My Take
Bado Utropolo