Masikini Bayern Munchen

Mpwa natazama hizi gemu zote kwa pamoja...

Bayern na Barca ni shiiiidaaaa...

Kesho Madrid akichapwa naye itakuwa burudani...

Ewaaa.... kesho Athletico na ishinde kwa amani.

Amina
 
porto leo wameifanya siku niimalizie vibaya sana.kwa mpira waliocheza wk iliyopita walinipa matumain ya porto kwenda nusu.
 
Bayern Hafiki mbali...

Mkuu za mtwara kwanza,
Ok, huko mbali ni wapi??. Nijuavyo Bayern alikotoka ndio mbali ukilinganisha na akikobakiza. Mpaka kufika hapo amecheza mechi 10 za UCL na kabakiza 3 tu abebe ndoo. Namanisha nusu na fainali. Tuweke sawa bhana na kama ni hasira za kufungwa Porto tujue!! .
 
Kweli mkuu nimeona,duh niliona 3-1 ilikuwa nyingi kumbe majamaa wanajielewa

Nilikuwa nasubiri uje jamvini...

Naona kule kusubiri kwetu hatimaye tumeona...
 
Porto ni timu jinga kabisa yaani unashinda kwa tatu leo unakuja defend. Hakika hutasahau kilichokutokea leo
 
Port wameniaribia siku kabisa hawa.....
 
kwa kipigo hiki wanachokipata leo bayern dhidi ya porto kwa kweli guardiola inatakiwa ajipange sana ili aweze kutamba champions league.baada ya kutoka ratiba ya robo nilisema bayern wamepata kibonde,kumbe.........


kumbe nini sasa?
next time ubakize na ya akiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…