Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
FT
Bayern 6 - 1 Porto
haya matokeo kwangu wala si ya kushtusha...sijui kwako mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FT
Bayern 6 - 1 Porto
kwa kipigo hiki wanachokipata leo bayern dhidi ya porto kwa kweli guardiola inatakiwa ajipange sana ili aweze kutamba champions league.baada ya kutoka ratiba ya robo nilisema bayern wamepata kibonde,kumbe.........
haya matokeo kwangu wala si ya kushtusha...sijui kwako mkuu?
Kuna makocha wawili tu Duniani wanaojua kusuka ukuta mgumu kwa Sasa...wa kwanza ni Diego Simeon na wa pili ni mkongwe Jose mourinho, Na hao ndo wanaosumbua timu zinazopiga pasi nyingi......!!!! ninachotaka kusema ni kuwa Atletico ikimpiga Real inanyanyua ndoo...na kama Real ikimpiga atletico na ispokutana na Barcelona itanyanyua ndoo kwa mara ya pili mfululizo....watu watasema ni mda mrefu timu hazichukui ndoo mfululizo lakini nashawishika kusema kuwa ndo maana rekodi zinavunjwa....!!!! KOMBE LINAENDA SPAIN....!!! tutakutana kwenye jukwaa may 10 😛eace:😛eace:😛eace:
Unaongelea Madrid ipi mkuu? Unaweza kuzitofautisha kwa kusema Real au Atletico.
Sasa sijui ni Madrid ipi hapo.
Bayern Hafiki mbali...