Masikini Bayern Munchen

Masikini Bayern Munchen

kwa kipigo hiki wanachokipata leo bayern dhidi ya porto kwa kweli guardiola inatakiwa ajipange sana ili aweze kutamba champions league.baada ya kutoka ratiba ya robo nilisema bayern wamepata kibonde,kumbe.........

Maskini mleta hoja... Kifiro mlichopata Leo hutasahau maishani

Jamaa wamegongomelea matanoo
 
Kuna makocha wawili tu Duniani wanaojua kusuka ukuta mgumu kwa Sasa...wa kwanza ni Diego Simeon na wa pili ni mkongwe Jose mourinho, Na hao ndo wanaosumbua timu zinazopiga pasi nyingi......!!!! ninachotaka kusema ni kuwa Atletico ikimpiga Real inanyanyua ndoo...na kama Real ikimpiga atletico na ispokutana na Barcelona itanyanyua ndoo kwa mara ya pili mfululizo....watu watasema ni mda mrefu timu hazichukui ndoo mfululizo lakini nashawishika kusema kuwa ndo maana rekodi zinavunjwa....!!!! KOMBE LINAENDA SPAIN....!!! tutakutana kwenye jukwaa may 10 😛eace:😛eace:😛eace:
 
duh! wametisha sass,wakampe dozi barca kwani siwapendi
 
Chezeya Bayern Munich Weye leo wamemuadhiri mtu kwa kichapo cha mbwa mwizi.
 
10404203_848442608560148_3681645095751277338_n.jpg
 
haya matokeo kwangu wala si ya kushtusha...sijui kwako mkuu?

Mkuu hata kwangu nilijua tu 'ngoma ya kitoto haikeshi'...

Porto hawezi kuikalisha Bayern kirahisi vile...eti kwa kushinda 3 kwao ndio iwe game over...

Kuna jamaa nilibishana naye mwanzoni mwa huu uzi tukaahidiana kusubiri...naona leo kawa mpoleeee....
 
Ngoja nii-quote hii kwa matumizi ya baadaye

Kuna makocha wawili tu Duniani wanaojua kusuka ukuta mgumu kwa Sasa...wa kwanza ni Diego Simeon na wa pili ni mkongwe Jose mourinho, Na hao ndo wanaosumbua timu zinazopiga pasi nyingi......!!!! ninachotaka kusema ni kuwa Atletico ikimpiga Real inanyanyua ndoo...na kama Real ikimpiga atletico na ispokutana na Barcelona itanyanyua ndoo kwa mara ya pili mfululizo....watu watasema ni mda mrefu timu hazichukui ndoo mfululizo lakini nashawishika kusema kuwa ndo maana rekodi zinavunjwa....!!!! KOMBE LINAENDA SPAIN....!!! tutakutana kwenye jukwaa may 10 😛eace:😛eace:😛eace:
 
Chezea mhindi wwewe kashikamakalio yenu jaribuni nakesho muone
akuja kulima lami n zaidiya

massawe
 
Refa Kasikika baadayagame akisema omg naonamkekawake nao umechanika

NILICHOWAPENDA BAADAYAKUBADILISHA KIPA NAE AKALA GOLI 3
 
Unaongelea Madrid ipi mkuu? Unaweza kuzitofautisha kwa kusema Real au Atletico.
Sasa sijui ni Madrid ipi hapo.

Real Madrid ndio natamani achapwe...

Napenda sana mpira wa Atletico natamani nione akicheza na Juve au Bayern...

Litakuwa bonge la gemu...
 
Back
Top Bottom