Masikini Bayern Munchen

Masikini Bayern Munchen

muhuwesichimalamyasi

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
306
Reaction score
132
kwa kipigo hiki wanachokipata leo bayern dhidi ya porto kwa kweli guardiola inatakiwa ajipange sana ili aweze kutamba champions league.baada ya kutoka ratiba ya robo nilisema bayern wamepata kibonde,kumbe.........
 
Wakuu sikuwaza inaweza kuwa hivi,Bayern inatolewa duh
 
Hata mi nilihisi wamekutana na kibonde,majamaa wamewekewa ukuta hamna kupita,Bayern wanatolewa sidhani kama watakuja kuwafunga Porto 4-0 kwenye marudiano
 
Hiyo ni mechi ya kwanza....kuna mechi ya pili
 
Bayern bila robben na ribery hamna kitu pia bastian nae hayupo
 
Hata mi nilihisi wamekutana na kibonde,majamaa wamewekewa ukuta hamna kupita,Bayern wanatolewa sidhani kama watakuja kuwafunga Porto 4-0 kwenye marudiano

Wanatakiwa kushinda 2-0 tu.... na wanaweza
 
Hata mi nilihisi wamekutana na kibonde,majamaa wamewekewa ukuta hamna kupita,Bayern wanatolewa sidhani kama watakuja kuwafunga Porto 4-0 kwenye marudiano

Kumbuka Bayern wamecheza bila ya Bastian, Roben, Ribery, Alaba still Bayern anaweza kuwatoa Porto
 
Duh mkuu siamini,ila mpira hautabiriki maana kwa Monaco nilitegemea mvua jana ila walikaza
 
Not sending off Neuer is probably the reason why Bayern will make it to the semifinals...

10383923_986466978044729_7607521993779075484_n.jpg
 
Hata mi nilihisi wamekutana na kibonde,majamaa wamewekewa ukuta hamna kupita,Bayern wanatolewa sidhani kama watakuja kuwafunga Porto 4-0 kwenye marudiano

Wakishinda 2-0????

Cheki rekodi zako vizuri.
 
Back
Top Bottom