Masikini Bayern Munchen

Masikini Bayern Munchen

I'm optimistic bayern anatolewa. Porto watadraw 1-1
 
bayern naamin inawategemea sana arjen roben na frank ribery.vp j4 ya tar 21 watakuwepo hawa watu?
 
Guardiola huwa anabebwa sana na ma refereeeee..

Jana Neur supposed to be sent off..

Straight red card lefa kwalinda... na bado wamefungwa 3-1

game ya mtoano kati ya bayern na shakter bayern alipewa penalti mapema na mchezaji wa shaktar alipewa red card...

ma refa wanambeba sana guardiola na nina uhakika bila kubebwa marudiano.. Bayern havuki hii stage..

Porto lazima wakapate goli ujerumani.. labda wafanyiwe fitna wapewe red card kama shakter walivyofanyiwa mtoano

Bayern Munich goalkeeper lucky not to get red card after two minutes on the field | For The Win
 
Bayern inapita, magoli ya porto yote yalisababishwa na defensive error hakuna goli lililopikwa vizuri...wakienda ujeruman watadefend na hapo ndo watachezea kchapo kzito c'se hawana strong defenders kama za atletico...ngoja robben, ribery ma bastern warudi....ni hayo tu tutakutana kwenye jukwaa after second game
 
Porto ndio timu pelee unbeaten uefa champions ligi msimu huu,mara ya mwisho walibeba nchini ujerumani wakiwa na Mourinho uwanja wa schalke04
 
Wafunge 3-0.na siyo 2-0,Asernal walifunga 2-0 wametolewa.

mkuu nakuelewesha inabid wafunge 2 kwa 0 na si 3 kwa 0 sababu arsenali alifungwa 3 kwa 1 kwake hvyo kwa bayern akamfunga 2 kwa 0 jumla 3 kwa 3 bayern akapita kwa goli la ugenini ila porto ameshinda kwake hvyo bayern akifunga 2 kwa bila inakuwa jumla 3 kwa 3 hvyo bayern atapita sababu alipata goli la ugenini .NAAMINI UMEELEWA VIZUR
 
Guardiola huwa anabebwa sana na ma refereeeee..

Jana Neur supposed to be sent off..

Straight red card lefa kwalinda... na bado wamefungwa 3-1

game ya mtoano kati ya bayern na shakter bayern alipewa penalti mapema na mchezaji wa shaktar alipewa red card...

ma refa wanambeba sana guardiola na nina uhakika bila kubebwa marudiano.. Bayern havuki hii stage..

Porto lazima wakapate goli ujerumani.. labda wafanyiwe fitna wapewe red card kama shakter walivyofanyiwa mtoano

Bayern Munich goalkeeper lucky not to get red card after two minutes on the field | For The Win

Kaka nipo na wewe asilimia 100...siku ile nilikaa na kujiuliza hivi ile penati na straight red ya Jens Lehman 2006 katika fainali na hii faulo ya Neuer ina tofauti gani sipati jibu...kiukweli mpira unaharibika sn nowdays kisa marefa maana unaona kabisa faulo refa anaminya napata wasiwasi na huu mchezo sana siku hizi!!!
 
na hao porto na wao wanataka japo goli moja tu wajihakikishie kupita bayern atajifanya kushambulia sana hapo ndio porto watapata nafasi ya kufunga
 
hawa bayern nawaomba tukutane nao tena sisi barca manaake wakatiule barca ilikua beki zetu mbovu kupita kiasi ndio wakatupia 7 bila ila kwa sasa naomba wapite tuje kukutana nao
 
Back
Top Bottom