Masikini Diamond huu ndo mwanzo wake wa kufilisika

Masikini Diamond huu ndo mwanzo wake wa kufilisika

wanajamvi leo hii kila kona kumezagaa skendo ya diamond ya kufanya utapeli baada ya kupokea advance kutoka kwa promota na kutotokea kwenye shoo uko arusha,promota anadai alimlipa diamond advance pamoja na tiketi ya denge pamoja na kugharamia garama za malazi na chakula lakini kapotezea shoo inavosemekana jana watu waliingia ktk shoo lakini adi saa nane za usiku jamaa hakutokea kilichofuata ni mashabiki kufanya vurugu na kualibu ukumbi na madansa wa diamond kupelekwa lupango.swali je huu ndo mwanzo wa kupolomoka kwa diamond kama enzi zile za kina mr nice?nawasilisha.
Mkuu mrejesho? vp jamaa miguu chali?
 
sipo mbali na mtoa mada... huyu dmond wimbo wa mwisho kuutoa ni UKIMUONA
 
Nadhani tusubiri maelezo yake,inawezekana kuna mambo yalimsibu hata kushindwa kuhudhuria show hiyo .
 
Diamond aache utapeli, arudishe pesa za watu na ticket ya denge.
 
Mleta uzi huko alipo.
dogi 10.png
 
Back
Top Bottom