Gamble ameumaliza mwendoMbunge wa Arusha Mrisho Gambo naona sasa amekalia kuti kavu pale lumumba.
Migogoro mingi na shutuma nyingi amekuwa akihusishwa ndani ya chama na kwa watendaji wa jiji la Arusha itakuwa ni mwiba mkali sana kwake.
Nauona ubunge wake kama upo mikononi mwa wenye chama chao pale Lumimba.
Hapa ndiyo atamkumbuka sana Lema kwa maneno yake yenye kuonyesha kama ni kijukuu cha Shehe Yahaya Husein.View attachment 2861824
Huyu ni kijana wa msoga mdini kama ZittoSukuma gang mwenzako ambaye alikuwa anajiona kama Mungu mtu kipindi cha Jiwe
Wa kwanza mimi maana alikuwa anajiona kama mtoto wa sultani yeye na kina SabayaGambo hana chake pale Arusha, kila sehemu alikiwa anapiga fitna watu, hilo kundi litamwandama come 2025. Kuamzia kwenye chama, serikalini, mpaka mtaani.
Akipigwa chini itakuwa ni furaha ya kila mwanaArusha
🤣🤣🤣Jiwe alikuwa anawanywesha matango pori
Jumatatu ufuate vyeti vyako mirembe!Endelea kulinda kaburi la mjomba wako hapo Rubondo
Huna akili!Masia wenu huenda akarudi