Pre GE2025 Masikini Gambo, namuona akifungiwa virago mapema Arusha Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbunge wa Arusha Mrisho Gambo naona sasa amekalia kuti kavu pale lumumba.

Migogoro mingi na shutuma nyingi amekuwa akihusishwa ndani ya chama na kwa watendaji wa jiji la Arusha itakuwa ni mwiba mkali sana kwake.

Nauona ubunge wake kama upo mikononi mwa wenye chama chao pale Lumimba.

Hapa ndiyo atamkumbuka sana Lema kwa maneno yake yenye kuonyesha kama ni kijukuu cha Shehe Yahaya Husein.View attachment 2861824
Huyu jamaa sijawakumkubali hata kdgo, alipokuwa mkuu wa mkoa arusha aliwadharau sana wapinzani, tabia zake kama sabaya tu
 
Mbunge wa Arusha Mrisho Gambo naona sasa amekalia kuti kavu pale lumumba.

Migogoro mingi na shutuma nyingi amekuwa akihusishwa ndani ya chama na kwa watendaji wa jiji la Arusha itakuwa ni mwiba mkali sana kwake.

Nauona ubunge wake kama upo mikononi mwa wenye chama chao pale Lumimba.

Hapa ndiyo atamkumbuka sana Lema kwa maneno yake yenye kuonyesha kama ni kijukuu cha Shehe Yahaya Husein.View attachment 2861824
Hafai ni mjinga sn
 
Back
Top Bottom