Kiazimaji79
Member
- Jun 20, 2023
- 51
- 71
Huyu jamaa sijawakumkubali hata kdgo, alipokuwa mkuu wa mkoa arusha aliwadharau sana wapinzani, tabia zake kama sabaya tuMbunge wa Arusha Mrisho Gambo naona sasa amekalia kuti kavu pale lumumba.
Migogoro mingi na shutuma nyingi amekuwa akihusishwa ndani ya chama na kwa watendaji wa jiji la Arusha itakuwa ni mwiba mkali sana kwake.
Nauona ubunge wake kama upo mikononi mwa wenye chama chao pale Lumimba.
Hapa ndiyo atamkumbuka sana Lema kwa maneno yake yenye kuonyesha kama ni kijukuu cha Shehe Yahaya Husein.View attachment 2861824
Hafai ni mjinga snMbunge wa Arusha Mrisho Gambo naona sasa amekalia kuti kavu pale lumumba.
Migogoro mingi na shutuma nyingi amekuwa akihusishwa ndani ya chama na kwa watendaji wa jiji la Arusha itakuwa ni mwiba mkali sana kwake.
Nauona ubunge wake kama upo mikononi mwa wenye chama chao pale Lumimba.
Hapa ndiyo atamkumbuka sana Lema kwa maneno yake yenye kuonyesha kama ni kijukuu cha Shehe Yahaya Husein.View attachment 2861824
Mrangi wa KondoaHuyu kwao ilala arusha kaivamia
Arusha inawenyewe
Ova
Bora Bananga au BatildaTunakwenda na CHA UJANJA Doita!
Siyo Rubondo, ni Burigi. Hifadhi iliyowahi kuhamishiwa wanyama kwa maloriš¤£Endelea kulinda kaburi la mjomba wako hapo Rubondo