Masikini Li Vogue la Madame

Picha ya zamani lakini tangazo la tra ni la leo ina maana gari lipo mikononi mwa tra kwa sababu ya overstay kwa maana halikuwahi kulipiwa kodi ili lipate usajili wa hapa.
Duh nimekuelewa mkuu
 
Tena Nasikia Hyo Evoque Ilikuwa Mpya Kiasi Kwamba Alipiga Picha Meter Ili Tuone Mileage=0 Leo Anatembelea Bajaj
 
Aina ya Gari namba 4 tu ndo kipya nlichokijua humu.
 
Tena Nasikia Hyo Evoque Ilikuwa Mpya Kiasi Kwamba Alipiga Picha Meter Ili Tuone Mileage=0 Leo Anatembelea Bajaj

Hiyo ya kumtembelea bajaji ni kweli mkuu ina mana amekosa Hata vits ya milion 5
 
Hako kagauni kamemkaa vizuri hata mchina hauonekani vibaya angekuwa na akili za kuvaa hivi siku zote ingekuwa poa sana
 
All in all chuma kipo sokoni kesho asubuhi
 
Kwa hiyo nae na wenza wake walikuwa wanaingiza magari kusema yanaenda nje ya nchi na kumbe yanabaki hapa...kweli JPM ananyoosha watu. Ila ametumika sana huyo Wema hadi anabakia kuwa muongo sababu hata elfu 20 kwa wiki lazima kazi kwake.
 


kwanini hawa wasimsaidie?maana aliwasaidia.

swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…