MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,391
Picha ya zamani lakini tangazo la TRA ni la leo ina maana gari lipo mikononi mwa TRA kwa sababu ya overstay kwa maana halikuwahi kulipiwa kodi ili lipate usajili wa hapa.Zamani sana hiyo picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ya zamani lakini tangazo la TRA ni la leo ina maana gari lipo mikononi mwa TRA kwa sababu ya overstay kwa maana halikuwahi kulipiwa kodi ili lipate usajili wa hapa.Zamani sana hiyo picha
Wanazungumzia tangazoZamani sana hiyo picha
Duh nimekuelewa mkuuPicha ya zamani lakini tangazo la tra ni la leo ina maana gari lipo mikononi mwa tra kwa sababu ya overstay kwa maana halikuwahi kulipiwa kodi ili lipate usajili wa hapa.
Acha kurembaIn actualfact sio yake ni ya huyo Mussa Anli, I stand to be corrected ndio maana wametumia ℅ Wema!
Shikamoo Wema...Haya ndo madhara ya kuedit matangazo, badala ya kuscetch ya kwako.
Huyu si ndio anatumia 2m per week kwa kutengeneza nywele?
Tena Nasikia Hyo Evoque Ilikuwa Mpya Kiasi Kwamba Alipiga Picha Meter Ili Tuone Mileage=0 Leo Anatembelea Bajaj
we mzee hakuna "lange Rover",af unakomaa kabisa...even a single spelling can change the whole contentYap hio ni latest ya mwaka 2015
Musa anli akakomboe lange yake...
"Lange Rover Evoque"?
Seriously..?