BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,732
- 3,508
Habari wadau,
Mwenzenu nina matatizo ya macho toka mwaka 2007. Matatizo yangu ni kuumwa na kichwa karibu kila siku licha ya kwamba ninatumia miwani ya jua na kichwa.
Mishipa ya shingo inauma na kukaza, pia maumivu ya macho, masikio yaziba. Nimejaribu kwenda hospital tofautI but hali bado haijawa shwari, nIlienda kwenye hospitali moja hapa jijini Dar es Salaam na dokta aliniambia ninatakiwa nitumie v b compex bila kuacha.
Msaada jamani yani haswa kwenye hili suala la kichwa kuuma daily nateseka sana.