Masikini macho yangu

Masikini macho yangu

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,732
Reaction score
3,508
Habari wadau,

Mwenzenu nina matatizo ya macho toka mwaka 2007. Matatizo yangu ni kuumwa na kichwa karibu kila siku licha ya kwamba ninatumia miwani ya jua na kichwa.

Mishipa ya shingo inauma na kukaza, pia maumivu ya macho, masikio yaziba. Nimejaribu kwenda hospital tofautI but hali bado haijawa shwari, nIlienda kwenye hospitali moja hapa jijini Dar es Salaam na dokta aliniambia ninatakiwa nitumie v b compex bila kuacha.

Msaada jamani yani haswa kwenye hili suala la kichwa kuuma daily nateseka sana.
 
Hii ni dawa ni mwisho wa matatizo inaitwa jina la YESU ukikutana na huyu MWANAUME ITAKUWA SIMULIZI KUWA NILIWAHI KUMWA KICHWA tafuta mahalii YESU ANAITWA UOMBEWE UTAPONA
 
mkuu huenda miwani uliyo nayo haikusaidii tena,rudi hosp wakakupime tena macho,huenda ukawa unahitaji kubadilishiwa miwani!!pole sana...
 
v b compex or v b complex? Na je ukiwa unaangalia na kuzungusha macho unaona kama Ukungu unapita?
 
Hii ni dawa ni mwisho wa matatizo inaitwa jina la YESU ukikutana na huyu MWANAUME ITAKUWA SIMULIZI KUWA NILIWAHI KUMWA KICHWA tafuta mahalii YESU ANAITWA UOMBEWE UTAPONA

Mtu anaomba msaada yuko serious unaleta utani, sio poa kabisa
 
Kuna Rafiki yangu alikua na matatizo kama ayo lakini mwaka jana 2013 alikwenda hospitali moja uliopo mikocheni, jina limenitoka, lakini kwa sasa anasoma vizuri, jikongojee ufike.
 
Hii ni dawa ni mwisho wa matatizo inaitwa jina la YESU ukikutana na huyu MWANAUME ITAKUWA SIMULIZI KUWA NILIWAHI KUMWA KICHWA tafuta mahalii YESU ANAITWA UOMBEWE UTAPONA

Nenda kwa gwajima unaweza ukapata na totoz pia
 
Habari wadau,

Mwenzenu nina matatizo ya macho toka mwaka 2007. Matatizo yangu ni kuumwa na kichwa karibu kila siku licha ya kwamba ninatumia miwani ya jua na kichwa.

Mishipa ya shingo inauma na kukaza, pia maumivu ya macho, masikio yaziba. Nimejaribu kwenda hospital tofautI but hali bado haijawa shwari, nIlienda kwenye hospitali moja hapa jijini Dar es Salaam na dokta aliniambia ninatakiwa nitumie v b compex bila kuacha.

Msaada jamani yani haswa kwenye hili suala la kichwa kuuma daily nateseka sana.

Nenda ccbrt mkuu pale ni mwisho wa matatizo,epuka madaktari macho wa mtaani.
 
Hili nalo neno...mzee wangu alikuwa anaumwa sana na kichwa kutokana na hayo macho!! Alivyosafiri kwenda CCBRT akaambiwa ana presha ya macho!! Mwanzo alipigwa laser ili kuua ile presha iliyokuwa inasababisha macho na kichwa kuuma, baadae alionekana kama ana jicho la mtoto na lenzi zina ukungu so kapangiwa OP mwezi huu...ingawa ni gharama...(1.6m kubadili lensi za macho yote mawili).
Pole mkuu!!
 
Ahsante mkuu ushauri wako nitaufanyia kazi
mkuu huenda miwani uliyo nayo haikusaidii tena,rudi hosp wakakupime tena macho,huenda ukawa unahitaji kubadilishiwa miwani!!pole sana...
 
Hospital gan mkuu kairukia au?
Kuna Rafiki yangu alikua na matatizo kama ayo lakini mwaka jana 2013 alikwenda hospitali moja uliopo mikocheni, jina limenitoka, lakini kwa sasa anasoma vizuri, jikongojee ufike.
 
Hospital gan mkuu kairuki au?
Kuna Rafiki yangu alikua na matatizo kama ayo lakini mwaka jana 2013 alikwenda hospitali moja uliopo mikocheni, jina limenitoka, lakini kwa sasa anasoma vizuri, jikongojee ufike.
 
Ccbrt nimeenda pale wakaniwekea dawa aina ya drops kwenye macho niliona kama wameniongezea tatzo coz mwanga uliongezeka nikawa nashindwa hata kufungua macho,ila nitaenda tena.
Nenda ccbrt mkuu pale ni mwisho wa matatizo,epuka madaktari macho wa mtaani.
 
Duh!1.6m? Ahsante mkuu
Hili nalo neno...mzee wangu alikuwa anaumwa sana na kichwa kutokana na hayo macho!! Alivyosafiri kwenda CCBRT akaambiwa ana presha ya macho!! Mwanzo alipigwa laser ili kuua ile presha iliyokuwa inasababisha macho na kichwa kuuma, baadae alionekana kama ana jicho la mtoto na lenzi zina ukungu so kapangiwa OP mwezi huu...ingawa ni gharama...(1.6m kubadili lensi za macho yote mawili).
Pole mkuu!!
 
Pole sana endelea kutafuta hospitali nzuri ipo siku utapona.Pia jaribu kutumia hata supplements za foreverliving ni nzuri kama utahitaji utanipm .
 
Hii ni dawa ni mwisho wa matatizo inaitwa jina la YESU ukikutana na huyu MWANAUME ITAKUWA SIMULIZI KUWA NILIWAHI KUMWA KICHWA tafuta mahalii YESU ANAITWA UOMBEWE UTAPONA

Usimtumie Yesu kutapeli watu.
 
Habari wadau,

Mwenzenu nina matatizo ya macho toka mwaka 2007. Matatizo yangu ni kuumwa na kichwa karibu kila siku licha ya kwamba ninatumia miwani ya jua na kichwa.

Mishipa ya shingo inauma na kukaza, pia maumivu ya macho, masikio yaziba. Nimejaribu kwenda hospital tofautI but hali bado haijawa shwari, nIlienda kwenye hospitali moja hapa jijini Dar es Salaam na dokta aliniambia ninatakiwa nitumie v b compex bila kuacha.

Msaada jamani yani haswa kwenye hili suala la kichwa kuuma daily nateseka sana.

Jalibu kwenda CCBRT dar nami nilikuwa na tatizo kama lako, kichwa kuuma sana, machozi kutoka huku nimevaa miwani ya macho, nilihangaika kwenye clinic nyingi za macho, nikapata ushauri kutoka kwa mtu niende CCBRT kutokea mwanza, CCBRT walinipima na nikapewa dawa,walihangaika sana kupata lenzi yangu, madokta walikuwa wanabadilishana kunipima wanachemka, kwa sasa natumia miwani wakati wa kusomea tu kutembea nayo hapana ..
 
Back
Top Bottom