v b compex or v b complex? Na je ukiwa unaangalia na kuzungusha macho unaona kama Ukungu unapita?Habari wadau,
Mwenzenu nina matatizo ya macho toka mwaka 2007. Matatizo yangu ni kuumwa na kichwa karibu kila siku licha ya kwamba ninatumia miwani ya jua na kichwa.
Mishipa ya shingo inauma na kukaza, pia maumivu ya macho, masikio yaziba. Nimejaribu kwenda hospital tofautI but hali bado haijawa shwari, nIlienda kwenye hospitali moja hapa jijini Dar es Salaam na dokta aliniambia ninatakiwa nitumie v b compex bila kuacha.
Msaada jamani yani haswa kwenye hili suala la kichwa kuuma daily nateseka sana.
Hii ni dawa ni mwisho wa matatizo inaitwa jina la YESU ukikutana na huyu MWANAUME ITAKUWA SIMULIZI KUWA NILIWAHI KUMWA KICHWA tafuta mahalii YESU ANAITWA UOMBEWE UTAPONA

Habari wadau,

Hili nalo neno...mzee wangu alikuwa anaumwa sana na kichwa kutokana na hayo macho!! Alivyosafiri kwenda CCBRT akaambiwa ana presha ya macho!! Mwanzo alipigwa laser ili kuua ile presha iliyokuwa inasababisha macho na kichwa kuuma, baadae alionekana kama ana jicho la mtoto na lenzi zina ukungu so kapangiwa OP mwezi huu...ingawa ni gharama...(1.6m kubadili lensi za macho yote mawili).Nenda ccbrt mkuu pale ni mwisho wa matatizo,epuka madaktari macho wa mtaani.
Nenda ccbrt mkuu pale ni mwisho wa matatizo,epuka madaktari macho wa mtaani.
Hili nalo neno...mzee wangu alikuwa anaumwa sana na kichwa kutokana na hayo macho!! Alivyosafiri kwenda CCBRT akaambiwa ana presha ya macho!! Mwanzo alipigwa laser ili kuua ile presha iliyokuwa inasababisha macho na kichwa kuuma, baadae alionekana kama ana jicho la mtoto na lenzi zina ukungu so kapangiwa OP mwezi huu...ingawa ni gharama...(1.6m kubadili lensi za macho yote mawili).
Pole mkuu!!