Sista JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,208 Reaction score 1,033 Jun 25, 2014 #1 Kimazingira naona haya maigizo aliofanyiwa yamepikwa vizuri. kibongo bongo kila kitu kinawezekana panapopitishwa rupia. je wakuu kisheria imekaaje kaaje hii. anaweza nyea debe?
Kimazingira naona haya maigizo aliofanyiwa yamepikwa vizuri. kibongo bongo kila kitu kinawezekana panapopitishwa rupia. je wakuu kisheria imekaaje kaaje hii. anaweza nyea debe?
Sista JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,208 Reaction score 1,033 Jun 26, 2014 Thread starter #2 watu wanaachana na kukimbilia kuchukua mali
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Jun 26, 2014 #3 Atafungwa kama ushahidi utakao wasilishwa utathibitika pasi shaka ni ukweli mtupu.