Masikini Mbasha, wajuzi wa sheria kesi imekaaje?

Masikini Mbasha, wajuzi wa sheria kesi imekaaje?

Sista

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
3,208
Reaction score
1,033
Kimazingira naona haya maigizo aliofanyiwa yamepikwa vizuri. kibongo bongo kila kitu kinawezekana panapopitishwa rupia. je wakuu kisheria imekaaje kaaje hii. anaweza nyea debe?
 
watu wanaachana na kukimbilia kuchukua mali
 
Atafungwa kama ushahidi utakao wasilishwa utathibitika pasi shaka ni ukweli mtupu.
 
Back
Top Bottom