Masikini ndo wenye pesa na ukitaka kutajirika watengeneze masikini

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Masikini ndo wenye pesa na sio matajiri na kusingekuwa na masikini basi hata matajiri wasingekuwepo, na kumbuka masikini wako Dunia nzima hata kule tunako tamani kwenda kusihi kwa Green card nao kuna masikini tena masikini hasa.

MASIKINI WANATENGENEZWAJE?
Masikini hutengenenzwa kupitia Idea ya biashara na lazima kichwani utengeneze masikini ili basi upige pesa.

Cocacola wao wali drwa picha ya masikini vichwani mwao ndo maana leo hii ni matajiri kupitia vinywaji vyao ambavyo kwa takwimu inaaminika masikini ndo consumer wakuu wa Cocacola.

Azam juice zake na Ice cream. Huyu mzee ali drow picha ya masikini kichwani mwake akuona atengenezee vitu vinavyo endana na wao. Leo hii Bagharesa bi bilionare kwa sababu alitengeneza masikini wengi sana kichwani mwake.

Hizi TV na vipindi mbalibali ni kwa ajili ya masikini wao ndo wana muda wa kuangalia Tamthilia na vipindi mbali mabli Tajiri hana muda kabisa anaweza tazama TV kwa mwezi mara 1.

Ukiangalia vitu vingi sana wenye idea walichora picha za masikini akilini mwao ndo wakatumia kupiga pesa.

Masikini ndo wenye pesa. Masikini ndo huzaa matajiri. Bila masikini hakuna tajiri

Kuna Utafiti uliwwhi fanywa wakasema hivi.

UKICHUKUA PESA ZILIZOKO DUNIA NZIMA UKAGAWA SAWA KWA WATU WOTE WA DUNIA Baada ya miezi kadhaa pesa zile zitarudi kwa matajiri.

Ukichujua pesa zote za Bongo namanisha na za makinikia ukagawa kwa Watanzania wote baada ya miezi kadhaa zile pesa zitarudi kwa walina Mengi, wakina Azam wakina Mo na Matajiri wengine

Kwa nini zitarudi kwao?

kwa sababu wao wana uwezo wa kuchora picha za masikini akilini mwao na wakapiga pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kabisa masikini ndio tunafanya kazi kwa ngivu lakini pesa tunazipeleka kwenye starehe. Ambazo hizo starehe zimebuniwa na Matajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii dhana ya masikini ni mtaji tosha,kuna funzo kubwa LA ujasiriamali na siri
 
Ni kweri chief,
Naomba tupe mbinu za kuchora maskini vichwani mwetu.?
Mkuu unatakiwa kudevelip business Idea basing na masikini.

Cocacola au Peps wao walidevelop idea basing na Masikini wakaja na product ambayo masikini halalamiki pale anapo itumia. usha ina masikini analalamika kununua soda? usha ona analalamika kununua juice ya embe ya azam au Mo?
usha ona analalamika kunywa maji ya viroba?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…