Masikini ndo wenye pesa na ukitaka kutajirika watengeneze masikini

Mkuu unatakiwa kudevelip business Idea basing na masikini.

Cocacola au Peps wao walidevelop idea basing na Masikini wakaja na product ambayo masikini halalamiki pale anapo itumia. usha ina masikini analalamika kununua soda? usha ona analalamika kununua juice ya embe ya azam au Mo?
usha ona analalamika kunywa maji ya viroba?

Sent using Jamii Forums mobile app
HUO NI UKWELI MKUU.LAKINI ATALALAMIKA UKIMWAMBIA ANUNUE TUNDA FRESH AU ANYWE MAJI YA BOMBANI!
 
Masikini ndo wenye pesa na sio matajiri na kusingekuwa na masikini basi hata matajiri wasingekuwepo, na kumbuka masikini wako Dunia nzima hata kule tunako tamani kwenda kusihi kwa Green card nao kuna masikini tena masikini hasa.

MASIKINI WANATENGENEZWAJE?
Masikini hutengenenzwa kupitia Idea ya biashara na lazima kichwani utengeneze masikini ili basi upige pesa.

Cocacola wao wali drwa picha ya masikini vichwani mwao ndo maana leo hii ni matajiri kupitia vinywaji vyao ambavyo kwa takwimu inaaminika masikini ndo consumer wakuu wa Cocacola.

Azam juice zake na Ice cream. Huyu mzee ali drow picha ya masikini kichwani mwake akuona atengenezee vitu vinavyo endana na wao. Leo hii Bagharesa bi bilionare kwa sababu alitengeneza masikini wengi sana kichwani mwake.

Hizi TV na vipindi mbalibali ni kwa ajili ya masikini wao ndo wana muda wa kuangalia Tamthilia na vipindi mbali mabli Tajiri hana muda kabisa anaweza tazama TV kwa mwezi mara 1.

Ukiangalia vitu vingi sana wenye idea walichora picha za masikini akilini mwao ndo wakatumia kupiga pesa.

Masikini ndo wenye pesa. Masikini ndo huzaa matajiri. Bila masikini hakuna tajiri

Kuna Utafiti uliwwhi fanywa wakasema hivi.

UKICHUKUA PESA ZILIZOKO DUNIA NZIMA UKAGAWA SAWA KWA WATU WOTE WA DUNIA Baada ya miezi kadhaa pesa zile zitarudi kwa matajiri.

Ukichujua pesa zote za Bongo namanisha na za makinikia ukagawa kwa Watanzania wote baada ya miezi kadhaa zile pesa zitarudi kwa walina Mengi, wakina Azam wakina Mo na Matajiri wengine

Kwa nini zitarudi kwao?

kwa sababu wao wana uwezo wa kuchora picha za masikini akilini mwao na wakapiga pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna kitu cha kujifunza hapo wenye utashi mkubwa walishatajilika mda mrefu coz walishacheza na mindset zetu maskin tunapenda nini then wakatake as advantage now tunawaita matajil utazan wamezaliwa nao.
 
Huo ndo ukweli wenyewe mkuu.
 
Masikini ndo wenye pesa na sio matajiri na kusingekuwa na masikini basi hata matajiri wasingekuwepo, na kumbuka masikini wako Dunia nzima hata kule tunako tamani kwenda kusihi kwa Green card nao kuna masikini tena masikini hasa.

MASIKINI WANATENGENEZWAJE?
Masikini hutengenenzwa kupitia Idea ya biashara na lazima kichwani utengeneze masikini ili basi upige pesa.

Cocacola wao wali drwa picha ya masikini vichwani mwao ndo maana leo hii ni matajiri kupitia vinywaji vyao ambavyo kwa takwimu inaaminika masikini ndo consumer wakuu wa Cocacola.

Azam juice zake na Ice cream. Huyu mzee ali drow picha ya masikini kichwani mwake akuona atengenezee vitu vinavyo endana na wao. Leo hii Bagharesa bi bilionare kwa sababu alitengeneza masikini wengi sana kichwani mwake.

Hizi TV na vipindi mbalibali ni kwa ajili ya masikini wao ndo wana muda wa kuangalia Tamthilia na vipindi mbali mabli Tajiri hana muda kabisa anaweza tazama TV kwa mwezi mara 1.

Ukiangalia vitu vingi sana wenye idea walichora picha za masikini akilini mwao ndo wakatumia kupiga pesa.

Masikini ndo wenye pesa. Masikini ndo huzaa matajiri. Bila masikini hakuna tajiri

Kuna Utafiti uliwwhi fanywa wakasema hivi.

UKICHUKUA PESA ZILIZOKO DUNIA NZIMA UKAGAWA SAWA KWA WATU WOTE WA DUNIA Baada ya miezi kadhaa pesa zile zitarudi kwa matajiri.

Ukichujua pesa zote za Bongo namanisha na za makinikia ukagawa kwa Watanzania wote baada ya miezi kadhaa zile pesa zitarudi kwa walina Mengi, wakina Azam wakina Mo na Matajiri wengine

Kwa nini zitarudi kwao?

kwa sababu wao wana uwezo wa kuchora picha za masikini akilini mwao na wakapiga pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app

unachoongea ni vitu vya kufikirika....sii kweli...nitarudi na nondo...
 
Leta nondo zako then nitaleta fact zaidi ya hizi hapi then tucompee. Kwa sasa nasubilia nondo

Mkuu toa official definition ya "maskini" ,maana umeongea tu bila kutoa definition!

Hapo ndio kuna uchawi wote!

I presume hujui maana ya "Maskini"!

Kama unajua please itoe hapa tu-establish basis ya discuss...

Ulichotoa hapo kwenye post ni lawama ambazo hazina basis kabisa!

Please andaa definition itupe hapa tuanze mbio!
 
Acha kushona so nitoe definitinion ili upate Base ya kuandaa nondo? Hahahaaa unachekesha.

Kama siijui mimi why wewe usitoe? Toa wewe difinition kupingana na nilicho sema. Sasa mlolongo wa nini?
 
ushakua wa ajabu sasa!

umeanza ku-discuss kishambenga sasa.....

post yako inatakiwa i-base na two extremes 'maskini' na "tajiri'.....tengeneza definitions zao ndio uzitumie kujenga hiyo hoja ya nani anamnyonya nani....!

wewe naona umegeuza kama una vita na mimi vile..

brother,what up wit'chu?
 
Hivi umepitia tena comment yako ya kwanza?

Rudia kuisoma mara hata 10 unless ulipost ukiwa uzingizini
 
ushakua wa ajabu sasa!

umeanza ku-discuss kishambenga sasa.....

post yako inatakiwa i-base na two extremes 'maskini' na "tajiri'.....tengeneza definitions zao ndio uzitumie kujenga hiyo hoja ya nani anamnyonya nani....!

wewe naona umegeuza kama una vita na mimi vile..

brother,what up wit'chu?
Mimi ndo uwezo wangu umeishia hapa sasa nasubilia kutoka kwako. Au huelewi?

Mimi nisha maliza kuelezea sasa unacho paswa kufanya ni kuja na Maelezo.mbadala ndo hayo nasubilia. Hizi zingine ni blablaa za ku buy time
 
Poa basi nitakuja na nondo zangu...!
 
Ndio maana masikini wengi wako makanisani kutajirisha watu wawili.
 
Back
Top Bottom