Hata Mimi nimewaza nianze hivyoNajaribu kuchora picha ya masikini nipige mkwanja wa maana
Hao matajiri wako wangapi? Tajiri gani anaenda kununua maji ya Viroba? au Juice ya 300/ au soda ya 500?Naona masikini ni watumiaji, na watumiaji ni watu wote wakiwemo matajiri. Walio au wanao buni bidhaa (consumer goods) mbalimbali lengo lao si kuwalenga masikini bali watumiaji wengi. Maana si kweli kuwa matajiri hawali au hawanywi bidhaa za Azam au Coca-Cola, au hawavuti sigara/ kunywa pombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi mzuri. Hongera bosiMasikini ndo wenye pesa na sio matajiri na kusingekuwa na masikini basi hata matajiri wasingekuwepo,
.....
Nazani maada ni kubwa kwako, inakuzidi uwezoHapa kuna ukweli wa uongo, mtajiri sehemu yoyoye ni wa kuhesabika, ndiyo maana nikikwambia ntajie tajiri Tanzania utawataja tu kuwa unawajua, mengi mmoja na watu wote wa mtaa wako wakinunua Azamu juice definitely utasema hiyo juice imekuwa consumed na maskini kwani tajiri hapo ni moja tu. Pambana na hali yako bila kutingisha ya mwenzio
Unacho kijua hapo ni.neno pambana na hali yako, HahaaaHapa kuna ukweli wa uongo, mtajiri sehemu yoyoye ni wa kuhesabika, ndiyo maana nikikwambia ntajie tajiri Tanzania utawataja tu kuwa unawajua, mengi mmoja na watu wote wa mtaa wako wakinunua Azamu juice definitely utasema hiyo juice imekuwa consumed na maskini kwani tajiri hapo ni moja tu. Pambana na hali yako bila kutingisha ya mwenzio