Chance za kupona ni ndogo sana
Kansa ya koo maana yake ulaji ni mgumu, hivyo mwili utaathirika
Kupona inaponaga ukiiwahi, ila hizo gharama sasa? Pole sana kwake
Naelewa unachosema ila wapo wengi pia tu wanaopona....ndio maana wanasisitiza sana kufanya check up ili vitu kama hivyo kuviwahi...tatizo linakuja kwenye gharama maana kansa zingine ocean road wanasema hawaziwezi wanakurefer nje Mara nyingi indiaUkipima na kujua una cancer jua haiko stage ya kwanza unaikuta ishasambaa
Tofauti na hapo watu wasingekuwa wanakufa na kansa
dah Mungu atamuafu !...
sijui kuna nini...maana hata yule Mzee ..Y...muimba taarabu naye ni vile vile
Sent using Jamii Forums mobile app
nikiwaza hapo tu.... imani inanitoka...
Mara nyingi wagonjwa wa kansa uwa ina wauanikiwaza hapo tu.... imani inanitoka...
nimezika kaka kwa hiyo ya koo.kuhangaika nae kote...aah ..wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki na Steve Nyerere mkuuSasa michango tunatoa wapi?
Mungu amjaalie afya njema ila na wewe jamaa hujaona picha nyingine hadi uweke hiyo aliyoweka midomo kama shishi bebi! halafu nyembo ni mtu wa kigoma au ntwara!?
Ni kweli lakini maradhi hayachagui. Allah ndiye mponyaji.so sad jamani bado ni kijana mdogo sana