Masikini Ommy Dimpozi Mungu akusimamie kaka

Masikini Ommy Dimpozi Mungu akusimamie kaka

Ukipima na kujua una cancer jua haiko stage ya kwanza unaikuta ishasambaa

Tofauti na hapo watu wasingekuwa wanakufa na kansa
Naelewa unachosema ila wapo wengi pia tu wanaopona....ndio maana wanasisitiza sana kufanya check up ili vitu kama hivyo kuviwahi...tatizo linakuja kwenye gharama maana kansa zingine ocean road wanasema hawaziwezi wanakurefer nje Mara nyingi india
 
Mungu amjaalie afya njema ila na wewe jamaa hujaona picha nyingine hadi uweke hiyo aliyoweka midomo kama shishi bebi! halafu nyembo ni mtu wa kigoma au ntwara!?
 
Jamani Mungu amponye kwa roho ya kibibadamu mwenzio akiwa na shida au kuumwa tumuombee.
 
Back
Top Bottom