Masikini Ommy Dimpozi Mungu akusimamie kaka

Kama amewahi atapona
 
Hayo maroho ya dukuduku na visasi yatakuja kuwauwa mapema kuliko hata hawa wagonjwa mnaowaona Leo.......
 
sala hazitomsaidia, aende hospt apate tiba. mambo yakufa kisa kutegemea sala ctk
 
Hizi account za fb uwa ni fake ukifuatilia karibia wasanii wote wa TZ hawana account wala fanpage fb ni watu tu ndiyo uwa wanatengeneza
 
HAPA NDIPO UTAKAPOONA UNAFIKI WA WATANZANIA SISI.
ila mungu amsimamie sina mengi.
 
so sad jamani bado ni kijana mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…