Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Sidhani kama hiyo ni Akaunti yake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama amewahi ataponaKama ni Kweli Allah amfanyie wepec...maana speaking of cancer moyo huwa unaripuka na kuwa mnyonge..nikisikia mtu ana sumbuliwa na kansa...ni maradhi hatari sana kuwahi kutokea na kupona ni kwa neema tu ya Mungu tena uiwahi mapema sana kbl haijafanya damage zaidi....May allah be his healer, wengine (doctors) iwe ni sababu tu. amin
KWANINI tuiondoe#moderators niondoleeni hiyo screen short tafadhali
Hayo maroho ya dukuduku na visasi yatakuja kuwauwa mapema kuliko hata hawa wagonjwa mnaowaona Leo.......Huyu jamaa alikuwa anajiona sana kana kwamba yeye hawezi kupata matatizo.Kwanza kabisa kwenye kifo cha Mkali wa Freestyle,Mangwea alitamka maneno ya dhihaka sana.Pili alipokwazana na Msanii mwenzie alikimbilia kuhusisha Mzazi wa mwenzie katika jamii yetu Tunasema Mama ni Mama vyovyote awavyo.Lakini yote kwa yote tunaomba Allah ampe uponyaji wake.Ugua pole Omary
Haya jibebe bebeeee.Kwa sisi mwenye iman ndogo huyu kapigwa kipapai na WCB
Naludia tena kusema kwa sisi mwenye iman ndogo na potofu
Iyo kansa ya katupiwa na WCB
Hizi account za fb uwa ni fake ukifuatilia karibia wasanii wote wa TZ hawana account wala fanpage fb ni watu tu ndiyo uwa wanatengenezaMwanamuziki mwenye sauti laini yenye kukonga nyoyo za mashabiki asiyekuwa na makuu kutoka mkoani kigoma anayetamba na kibao cha #yanje Omary faraji nyembo "ommy dimpoz" amethibitisha ni mgonjwa katika akaunti yake ya facebook leo asubuhi.Ameomba maombi ya mashabiki wake na wanainchi wote kwa ujumla kwa kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya koo.
Mungu amfanyie wepesi kijana wetu arejee katika hali yake.
[emoji23] [emoji23] sura yako imeonekana unataka kufuta picha watu washai save wanasubiri uharibu siku moja wakutafute#moderators niondoleeni hiyo screen short tafadhali
Kama unataka kuwa salama msifie jiwe na CCM na dreamliner vinginevyo, "pyu pyu"[emoji23] [emoji23] sura yako imeonekana unataka kufuta picha watu washai save wanasubiri uharibu siku moja wakutafute
iwe hivyo jamani, maradhi ya kansa ni kitu kingine kabisaChance za kupona ni ndogo sana
Kansa ya koo maana yake ulaji ni mgumu, hivyo mwili utaathirika
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Kwa sisi mwenye iman ndogo huyu kapigwa kipapai na WCB
Naludia tena kusema kwa sisi mwenye iman ndogo na potofu
Iyo kansa ya katupiwa na WCB
kauli kali kama hizo kwa mwenzio banaHuo unaitwa Unafiki
TrueKama unataka kuwa salama msifie jiwe na CCM na dreamliner vinginevyo, "pyu pyu"
Naona kuna wengine hawaamini kama kweli huyu kaka ananwa, ni kweli anaumwa japo am not sure kama ni kansa mana hiyo akaunt iliyotoa taarifa hatuna uhakika kama ni yake, ila kuumwa koo anaumwa na alifanyiwa operation mwanzoni mwa mwaka huu huko south africa, ila hatujui anaendeleaje. Ila kwa maelezo yake alipofanyiwa interview baada ya ile operation ni kwamba ni tatizo lililomuanza muda mrefu alikuwa anapat tabu sana kumeza chakula hata maji kwa muda mrefu na alipewa ushauri wa kwenda kumuona dokta na akiwa kwenye harus ya alikiba huko mombasa na gavana mmoja hv aliemshuhudia akipata shida kumeza wakati wakipata breakfast.
#moderators niondoleeni hiyo screen short tafadhali
Haha ili tusijue kua unatumka tekno kuingia jamii?#moderators niondoleeni hiyo screen short tafadhali