Masikini Ommy Dimpozi Mungu akusimamie kaka

Mh mombasa? Aisee itakua kapata kwa kunyonywa sana uume maana mombasa si ndo michezo yako yakheee
 
Kama Kuna mtu yeyote ana namba yake au ndugu yake tafadhali anifahamishe Pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwezekana aombe kibali maalum kutoka wizara ya afya ili aruhusiwe kutumia mafuta ya bangi (cannabis oil) kwani tafiti mabalimbali zilizofanyika zimethibitisha uwezo wake ktk kutibu kansa especially zikiwa bado zipo katk hatua za awali( initial satages).

Pia hata kwa wagonjwa wenye kansa, mafuta hayo husaidia kupunguza maumivu makali.

References

(*)Donald I Abrams, Manuel Guzman. Cannabis in cancer care. Clinical Pharmacology & Therapeutics 97 (6), 575-586, 2015

(**) Ana Tečić Vuger et al., Cannabis in oncology. Libri oncologici: Croatian journal of oncology 44 (2-3), 51-57, 2016
 
Mmmhh ndugu. yangu cancer ya Koo achana nayo kabisaaa
 
siku hizi feki akaunti zipo nyingi sana....
mbona anaumwa muda mrefu hadi alipelekwa SA kwaajili ya matibabu" na alivyotoka kwenye matibabu " akawa anaishi mombasa kwa JOHO " hata makonda alitaka kumpatia nyumba maalum kwaajili ya special treatment " akamjibu kuwa mombasa yupo kwenye mazingira salama pia" but kwa sasa sijui kama amesharudi dar au la "!!

daaah masikini" ama kweli hujafa hujaumbika" Pole omary nyembo
 
exactly alichomfanyia mondi kiliumiza mioyo mingi ya sisi ambao tunajua mama zetu hawako kwenye mstali,ambao aidha tunaishi na fedheha hii tukiificha iwezekanavyo na kukimbilia msaada wa mungu wabadilike,mtu anakuja anaitumia kama kiki aaaaaghhhh
 
Kweli dimpoz anaumwa na taarifa aliyoitoa yeye mwenyewe kupitia instagram yake alisema yuko vizuri anasubiri tu kupona vizuri.
Kuhusu hiyo account ya fb sidhani kama ni yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…