Sucking mbunyeIla huu ugonjwa wa cancer ya koo tujikumbushe visababishi vyake vikuu ni vipi?? mfano mvutaji wa sigara sana,mnywaji wa pombe kali na oral sex vingine?
Si umeiona screenshort lakin?Hakuna mtu anayeumwa kansa alafu akaandika hivyo kwenye page yake.
Nina uhakika 98% hiyo page sio ya Ommy Dimpoz.
DuuhHayo maroho ya dukuduku na visasi yatakuja kuwauwa mapema kuliko hata hawa wagonjwa mnaowaona Leo.......
Yawezekana yupo kwenye matibabu wakuusala hazitomsaidia, aende hospt apate tiba. mambo yakufa kisa kutegemea sala ctk
Even if,me navojua hiyo ndio account yake na updates nying anapost kupitia hiyo accountHizi account za fb uwa ni fake ukifuatilia karibia wasanii wote wa TZ hawana account wala fanpage fb ni watu tu ndiyo uwa wanatengeneza
Duuuuuh kikubwa anaumwa.mungu ni mwemaNaona kuna wengine hawaamini kama kweli huyu kaka ananwa, ni kweli anaumwa japo am not sure kama ni kansa mana hiyo akaunt iliyotoa taarifa hatuna uhakika kama ni yake, ila kuumwa koo anaumwa na alifanyiwa operation mwanzoni mwa mwaka huu huko south africa, ila hatujui anaendeleaje. Ila kwa maelezo yake alipofanyiwa interview baada ya ile operation ni kwamba ni tatizo lililomuanza muda mrefu alikuwa anapat tabu sana kumeza chakula hata maji kwa muda mrefu na alipewa ushauri wa kwenda kumuona dokta na akiwa kwenye harus ya alikiba huko mombasa na gavana mmoja hv aliemshuhudia akipata shida kumeza wakati wakipata breakfast.
Hii kwa kidhungu huwa tunaiita BOOmerang na kiarabu KaRMA-just jokesHuyu jamaa alikuwa anajiona sana kana kwamba yeye hawezi kupata matatizo.Kwanza kabisa kwenye kifo cha Mkali wa Freestyle,Mangwea alitamka maneno ya dhihaka sana.Pili alipokwazana na Msanii mwenzie alikimbilia kuhusisha Mzazi wa mwenzie katika jamii yetu Tunasema Mama ni Mama vyovyote awavyo.Lakini yote kwa yote tunaomba Allah ampe uponyaji wake.Ugua pole Omary
Acha upinzani usio na tija wewee,unajua ipo stage gan?Hakuna mtu anayeumwa kansa alafu akaandika hivyo kwenye page yake.
Nina uhakika 98% hiyo page sio ya Ommy Dimpoz.
Ko wana page tuu ila hawana acc?,wewe kweli mgeni wa fb.Hizi account za fb uwa ni fake ukifuatilia karibia wasanii wote wa TZ hawana account wala fanpage fb ni watu tu ndiyo uwa wanatengeneza
NomaHAPA NDIPO UTAKAPOONA UNAFIKI WA WATANZANIA SISI.
ila mungu amsimamie sina mengi.