Masikini Ommy Dimpozi Mungu akusimamie kaka

Masikini Ommy Dimpozi Mungu akusimamie kaka

Mrs leo governor anaitwa i Joho,halafu kansa ya koo nafikiri itakuwa early stage kabisa,ila hiyo ni kansa mbaya hawezi kunywa maji wala kula inakula koo na kufanya shimo kama maji mnampa vitone navyo vikipita mnaona,maumivu yake sasa Mungu amfanyie wepesi.
 
Naona kuna wengine hawaamini kama kweli huyu kaka ananwa, ni kweli anaumwa japo am not sure kama ni kansa mana hiyo akaunt iliyotoa taarifa hatuna uhakika kama ni yake, ila kuumwa koo anaumwa na alifanyiwa operation mwanzoni mwa mwaka huu huko south africa, ila hatujui anaendeleaje. Ila kwa maelezo yake alipofanyiwa interview baada ya ile operation ni kwamba ni tatizo lililomuanza muda mrefu alikuwa anapat tabu sana kumeza chakula hata maji kwa muda mrefu na alipewa ushauri wa kwenda kumuona dokta na akiwa kwenye harus ya alikiba huko mombasa na gavana mmoja hv aliemshuhudia akipata shida kumeza wakati wakipata breakfast.
Duuuuuh kikubwa anaumwa.mungu ni mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana yupo kwenye matibabu wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
ommy.JPG
ommy.JPG
 
Huyu jamaa alikuwa anajiona sana kana kwamba yeye hawezi kupata matatizo.Kwanza kabisa kwenye kifo cha Mkali wa Freestyle,Mangwea alitamka maneno ya dhihaka sana.Pili alipokwazana na Msanii mwenzie alikimbilia kuhusisha Mzazi wa mwenzie katika jamii yetu Tunasema Mama ni Mama vyovyote awavyo.Lakini yote kwa yote tunaomba Allah ampe uponyaji wake.Ugua pole Omary
Hii kwa kidhungu huwa tunaiita BOOmerang na kiarabu KaRMA-just jokes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom