Masikini Ommy Dimpozi Mungu akusimamie kaka

Duuuh,madame lakini chanzo kikuu ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa,usemalo ni sahihi but sio kwamba hawana acc,wasanii wote nchi nzima wanazo acc,ila kuna namna tunajua ya kuangalia account husika ya msanii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa,amezungumza hayo lin? Na leo lin? Umebugi man

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Official account yake ya Instagram, kaorodhesha mitandao yote anayotumia na kwa jina lake hakuna facebook hapo.
Mastar wa Tz wengi sana hawatumii facebook kitambo toka instagram imeshika kasi na kila wakihojiwa wanasema unless we ni mgeni wa mambo hayo.
Pingana na hii pia
 
Hahaa,usemalo ni sahihi but sio kwamba hawana acc,wasanii wote nchi nzima wanazo acc,ila kuna namna tunajua ya kuangalia account husika ya msanii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha namna wala nini hizo fake accounts za fb na wengi wameachana na fb kwasababu ni ngumu kuverify kama hiyo account ni yake, ndiyo maana watu wanatapeli watu fb kwa kutumia majina ya watu kuliko mtandao mwingine. Ni rahisi kujua acc fake ya msanii insta kuliko fb na wengi wametaliwa sana.
 
nafahamu but natahadharisha hiyo akaunti kutangaza maradhi ya kansa....alichosemaga mwenyewe ni kwamba kapasuliwa koo basi...hakusema kama anaumwa kansa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…