nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Poleni sana wana huko mbeya,najua pysical fatigue siyo mchezo wako watakaobisha lakini madhara yanaanza kuonekana injuries za ajabu ajabu kwa wachezaji
Jitahidi mnavyoweza mshinde leo lakini itakuwa ngumu sababu ni wazi kwamba sasa hivi simba haitapewa penalty tena labda beki amrukie mchezaji wa simba kama bruce lee kwenye penalty box na kuwe na uhakika kama huyo mchezaji wa simba anatokwa damu ndipo penalti itolewe
Pia hamtapata tena mipira ya adhabu karibu na 18 sababu nyie ni team yenye pesa kilichobaki leo ni kona tu na mkifunga kupitia kona basi ndiyo mwisho wenu kupewa kona mechi ijayo na kagera sugar mfunge kwa mashuti ya mbali maana hawatkubali tena mpate kona kwa sababu nyie mna pesa.