masikini Simba:leo kipengele kingine kinaanza kuminywa dhidi yao

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Poleni sana wana huko mbeya,najua pysical fatigue siyo mchezo wako watakaobisha lakini madhara yanaanza kuonekana injuries za ajabu ajabu kwa wachezaji
Jitahidi mnavyoweza mshinde leo lakini itakuwa ngumu sababu ni wazi kwamba sasa hivi simba haitapewa penalty tena labda beki amrukie mchezaji wa simba kama bruce lee kwenye penalty box na kuwe na uhakika kama huyo mchezaji wa simba anatokwa damu ndipo penalti itolewe
Pia hamtapata tena mipira ya adhabu karibu na 18 sababu nyie ni team yenye pesa kilichobaki leo ni kona tu na mkifunga kupitia kona basi ndiyo mwisho wenu kupewa kona mechi ijayo na kagera sugar mfunge kwa mashuti ya mbali maana hawatkubali tena mpate kona kwa sababu nyie mna pesa.
 
Nyie vyura hatukuhitaji penalt wala faulo kuwachapa kile kimoko cha nguruwe, kile kimoko kimefanya muwe na kichefuchefu msimu mzima
 
nachukiaga sana kuona kuna mijitu mijinga inajiunga JF ,inabidi kuwe na interview ya kuchuja majitu yanayojiunga humu
 
Wakichuja ata wewe hutakuwepo mana mada yako ya kichochezi.

Kwa hisani ya wanaparuhengo.kamweneee
 
Nyie vyura hatukuhitaji penalt wala faulo kuwachapa kile kimoko cha nguruwe, kile kimoko kimefanya muwe na kichefuchefu msimu mzima
Huyu c chura elewa sms kabla hujakurupuka! We unapaniki
 
Mwandishi nimekuelewa sana
Ndugu yangu kama ile ya okwi juzi ilikuwa ni penalty kabisa, halafu li burundi linasema ujinga utadhani team yake ni ya maana, yaani unajua tunawaendekeza hawa wapuuzi wageni nimefurahi msimamo wa stand united kukataa kusajili wachezaji wa burundi tena
Ukiwasikiliza hao kina zahera na huyo wa mbeya city utadhani huko burundi na congo ni heaven kabisa kumbe ungese tuu.kocha wa kigeni mstaarabu ni yule wa kmc tu
Presha kwa waamuzi na intimidation zimekuwa kubwa leo tutarajie simba kunyimwa hadi faulo za wazi
 
Poleni sana wana huko mbeya,najua pysical fatigue siyo mchezo wako watakaobisha lakini madhara yanaanza kuonekana injuries za ajabu ajabu kwa wachezaji
Jitahidi mnavyoweza mshinde leo lakini itakuwa ngumu sababu ni wazi kwamba sasa hivi simba haitapewa penalty tena labda beki amrukie mchezaji wa simba kama bruce lee kwenye penalty box na kuwe na uhakika kama huyo mchezaji wa simba anatokwa damu ndipo penalti itolewe
Pia hamtapata tena mipira ya adhabu karibu na 18 sababu nyie ni team yenye pesa kilichobaki leo ni kona tu na mkifunga kupitia kona basi ndiyo mwisho wenu kupewa kona mechi ijayo na kagera sugar mfunge kwa mashuti ya mbali maana hawatkubali tena mpate kona kwa sababu nyie mna pesa.
Mikia buana!!
 
Uchovu wa kujitakia!! Wachezaji wanapewa adhabu wasizostahili kwa uzembe/ujinga wa viongozi wachache wanaoamini bila fitna/figisu za nje ya uwanja bado mpira haujachezwa!!
 
Back
Top Bottom