BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
Akijitoa Akili Tunafungia Miaka 7Manara anaweza kufa..acha utani
Hakuna mabadiliko kwenye uwakilishi kwa Mei ujao, kwa sababu mfumo wake ulikwishapitishwa tangu Zanzibar ikiwa mwanachama wa muda. Marekebisho yatalazimu kwenye Lgi ya 2018/19.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndege imebadilishia gia angani[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
BREAKING NEWS..
Baada ya Zanzibar kufutiwa uanachama na shirikisho la soccer Africa tff imefanya mabadiliko ya uwakilishi wa vilabu kimataifa ambapo..
Bingwa wa Tanzania bara atashiriki club bingwa Africa.
Bingwa wa Zanzibar atashiriki shirikisho Africa.
Kufuatia mabadiliko hayo simba sports club wamepoteza nafasi ya uwakilishi kimataifa watabaki kuwa mabingwa wa FA tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*POVU RUKHSA*
*WAMATOPEEEEENIIIII*
Sent using Jamii Forums mobile app
...... kwa msimu ujao, samahani.Hakuna mabadiliko kwenye uwakilishi kwa Mei ujao, kwa sababu mfumo wake ulikwishapitishwa tangu Zanzibar ikiwa mwanachama wa muda. Marekebisho yatalazimu kwenye Lgi ya 2018/19.
Mkuu nimechekaje...!!!Itakuwa balaa kubwa sana kwa matopeni. Usajili wao wa wahenga umelenga Kushiriki Kombe La CAF.
Any confirmation from TFF?