Masikini Simba Sport Club

Masikini Simba Sport Club

Hivi mleta mada unajua unaweza ua mtu kwa kutokukusudia? Utani wa kindezi sio kabisa. Masikini Manara atakuwa amepata mshituko wa haja.
 
Chiroba,firoba,khiroba,[emoji36][emoji36]virobaaaaaaaa aaaah mtoa mada utaua watu bana.............
 
maskini utapoteza mda wako bure kusubiria mapovu..
 
Hakuna uhusiona maana hatuna wawakilishi wa muungano.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndege imebadilishia gia angani[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

BREAKING NEWS..
Baada ya Zanzibar kufutiwa uanachama na shirikisho la soccer Africa tff imefanya mabadiliko ya uwakilishi wa vilabu kimataifa ambapo..

Bingwa wa Tanzania bara atashiriki club bingwa Africa.

Bingwa wa Zanzibar atashiriki shirikisho Africa.

Kufuatia mabadiliko hayo simba sports club wamepoteza nafasi ya uwakilishi kimataifa watabaki kuwa mabingwa wa FA tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

*POVU RUKHSA*

*WAMATOPEEEEENIIIII*

Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo: Mama yako mzazi

HIZO NI DALILI ZA KUOGOPA JESHI LA WATU 9
 
Back
Top Bottom