Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 167
- 239
#Porojozabongo
Asili ufata asili
Nilikuwa Mimi na Dugo tukizungumza mambo fulani hivi yaliyokuwa yakitupa faraja, japo mahala pale palikuwa panachosha kelele za mitambo iliyokuwa ikifanya kazi kwa bidii bila kuchoka, ilikuwa ikituuzi vibaya mno na mara kadhaa tulilalama kwanini haikuwa ikiharibika walau tupate kupumzika maana kazi yenyewe ilikuwa ikichosha ,
Tuka sahau kabisa kwamba kuaharibika kwa mitambo ile kwa siku moja kunaweza sababisha kutopata hela siku inayo fata na zaidi maana kusingekuwa na jambo lakushughulika likatufanya tupate pesa maana mitambo ile ikipata kufanya kazi vizuri ndiyo pesa inaingia marighafi zinapo sindikwa vizuri zikapakiwa katika kontena na kwenda kwa wenzetu walio amua kushughulikia akili zao kwanza, mawazo haya tulifikiri kuwa tunayo sisi tu hata tulipo washirikisha watu wengine maoni yao yalikuwa hayo hayo, pamoja na yote hayo Akili yetu imelala hapo kazi pesa
Kila mzazi anasisitiza mwanae asome kwa bidii aje kupata kazi kisha afanye kazi kwa bidii apate pesa, yaani imetengenezwa vizazi kwa vizazi
Kilichokuwepo ni sisi kuifanyia kazi pesa na si pesa itufanyie kazi sisi
Si kosa maana asili ufata asili na hiyo ndo tofauti ya tajiri na masikini. Tajiri anafundisha kizazi chake kufanya pesa imfanyie kazi kwa bidii
Masikini tunafundisha vizazi vyetu kuifanyia kazi kwa bidii pesa
#wamakamo