kwani jk kafanya lipi la maana mpaka akapewa
kwani jk kafanya lipi la maana mpaka akapewa
Kwakwel reputation ya UDSM ingepanda sana. Hiv MWANA FA, Nikky wa Pilli wangejiskiaje labda. Yaan washindwe mpa kiboko yao wampe mdogo mdogo!!!😀:beer:
Sijui nne sjui nane mimi nangoja tuu arif... Wampe kitorondo doctrate 😀
Yani huyu PR ndio anaandika coz! Ujinga mtupu!
Inasemekana diamond alishaanda suti ya gauni kwa ajili ya kuvaa akiwa hapo udsm akikabidhiwa udokta wake.
Tunamkejeli lakini hali zetu ngumu, kila siku tunalala giza, elfu kumi haikai hata siku mbili inatusaidia nini? Mpuuz tu huyo kila siku kusafiri na msafara mkubwa anamaliza tu kodi zetu.Kweli unauliza hili swali ukiwa serious? Kwa hiyo wewe hujui mchango wa Prof Jakaya Mrisho Kikwete kwenye nchi hii? Huu Uhuru wa kumkejeli tuu na kusema chochote mnacho jisikia ulishawai kuuona awamu gani?
jamani kumbe ma profesa wa UDSm wanamuonea dangote wivu kwa kuwazidi hela...washindwe na walegeee