Masikini Udoctor wa Diamond waota mbawa

Masikini Udoctor wa Diamond waota mbawa

kwani jk kafanya lipi la maana mpaka akapewa

Kweli unauliza hili swali ukiwa serious? Kwa hiyo wewe hujui mchango wa Prof Jakaya Mrisho Kikwete kwenye nchi hii? Huu Uhuru wa kumkejeli tuu na kusema chochote mnacho jisikia ulishawai kuuona awamu gani?
 
Yani huyu PR ndio anaandika coz! Ujinga mtupu!
 
Kwakwel reputation ya UDSM ingepanda sana. Hiv MWANA FA, Nikky wa Pilli wangejiskiaje labda. Yaan washindwe mpa kiboko yao wampe mdogo mdogo!!!😀:beer:
 
Duuu bas ingekuwa shida nazan imkuja hii ili kufukia zomewa zomewa ya fiesta pamja na kombati za watu
 
Sijui nne sjui nane mimi nangoja tuu arif... Wampe kitorondo doctrate 😀
 
jamani kumbe ma profesa wa UDSm wanamuonea dangote wivu kwa kuwazidi hela...washindwe na walegeee
 
Me nilishaweka post humu ya kuwasihi watanzania tusiwe watu wa kukurupuka,
Lakini bado tunakurupuka tuuu...

Nashangaa sana mtu anatokwa povu kwa habari kama hiii....
Kuna habari hata kichwa haiwezi kukusumbua eti....
 
Kweli unauliza hili swali ukiwa serious? Kwa hiyo wewe hujui mchango wa Prof Jakaya Mrisho Kikwete kwenye nchi hii? Huu Uhuru wa kumkejeli tuu na kusema chochote mnacho jisikia ulishawai kuuona awamu gani?
Tunamkejeli lakini hali zetu ngumu, kila siku tunalala giza, elfu kumi haikai hata siku mbili inatusaidia nini? Mpuuz tu huyo kila siku kusafiri na msafara mkubwa anamaliza tu kodi zetu.
 
watu bwana, thread aanzishe mwingne bango ashikiwe mwingine.
Sometimes huyu dogo watu ndiyo wanampaka matope kwenye jamii, laiti kama hii habari angekuwa kaisambaza yeye basi PR wake asingeuliza kama ina ukweli,
 
matukio ya kizushi ni mengi mno, si ajabu uvumi wa daimond kupewa udokta ni wa uongo, na huu uzi hapa ni wa uongo pia, hii yote ni kutaka kuendelea kuwaongelea watu kila siku tuu bila sababu za msingi.
 
mimi ninaamini hii ishu inapikwa kwa makusudi kwa sababu gani, how possible inshu ya kiofisi PR wa mondi amtext mtu mkubwa hivyo?? nae akubali kujibu kwa sms, huu ni uongo haiwezekani.
 
jamani kumbe ma profesa wa UDSm wanamuonea dangote wivu kwa kuwazidi hela...washindwe na walegeee

prof mgaya kabisa akachati na seth kwenye sms???? alafu bila kupoteza muda akamjibu habari kwenye jamii forum kuhusu mondi ni uongo????? loading........
 
Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekanusha uvumi kuhusu kumtunuku msanii dimond platnumz shahada ya uzamivu (PHD) katika mahafali yake ya 44 yatakayofanyika Mlimani City ,Novemba 8 jijini Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom