Masikini Udoctor wa Diamond waota mbawa

Masikini Udoctor wa Diamond waota mbawa

Me nilijua tu. Diamond alivyo na sifa aache tu kuposti km ingekuwa kweli
 
Hahah...mimi nilitaka kushangaaa jamani wakimpa itakuwa uchawi....kuna vijana wengi wenye positive effect kwa jamii than domo wangepata hio nafasi..ila sio domo mpenda skendo huyo sio mwakilishi wangu mie kama kijana...afadhal hajapata tusingelala huko Ig
 
Wapumbavu ni wale wanaoamini kuwa Diamond anaweza kupewa PHD ya heshima toka UDSM,kwa utumbo upi alioufanya? huyo Pr wake mbona anakingereza hovyo sana?
 
Seth jiangalie hamhisi km ninyi ndo wachawi wa diamond kizuri chajiuza..!!!!!watu wamechoka na cheap publicity!!! Na mtuite tu ma hater sawaaaa.....!!!

Ila mnaofanya ni ujinga to the muximum
 
Tehe..
hata hii ni uongo.. uzushi uzushi mwingii
 
Lakin na jamiiforums siku hizi kwanini hawa zi delete mapema post za uzushi.??

Ndo nimeuona ule uzi ! Watu wametoka mapovu kishenzi.
 
Haka kadunia kamekua kadogo mno..!! Usiporekodiwa watakupigia screeshot
 
UDSM ingefanya kama matarajio ya huyo PR wa diamond, bila shaka idadi ya mashairi kwenye mitiani ya form 4 ingeongezeka mno hadi kufikia hatua ya kumlazimu kikwete na ccm kuongeza daraja lingine la division 6.
 
Wapumbavu ni wale wanaoamini kuwa Diamond anaweza kupewa PHD ya heshima toka UDSM,kwa utumbo upi alioufanya? huyo Pr wake mbona anakingereza hovyo sana?

kwani jk kafanya lipi la maana mpaka akapewa
 
Back
Top Bottom