- I hope huu muungano utadumu maana tunayoyasikia huku mtaani watabaki Chadema peke yao,!!
Le Mutuz System
Nape Nnauye,
Ungefafanua hiyo hongera ni kwa maslahi ya nani.
Wengi tulidhania kwamba ukimya wako umetokana na wewe kusoma alama za nyakati na kuamua kukaa pembeni na kuacha constitutionalism ifuate mkondo wake, kumbe bado una mtazamo ule ule, na bado haujifunzi. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Vijana huko juu mnatuangusha sana. Sijui mnataka kurithi chama kilicho vurugwa na wazee ili mlifanyie taifa kitu gani. Tanganyika inarudi, na nitakukumbusha hili. Sijui tutakuamini kwa lipi kukushirikisha katika ujenzi wa Tanganyika yetu itakayozinduliwa, kwani haikufa bali imewekwa chini ya zulia Lumumba.
Even a magician runs out of tricks, na hampo mbali katika hilo. Tuombee uzima tu.
Nguruvi3, Mag3, FJM
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
- Juzi nilikutana na mbunge mmoja wa Chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!
Le Mutuz System
Hivi wananchi mnaowasemeaga wanaishi wapi?Manake naona sisi wananchi kama vile tuna nchi mbili vile? ya CCM na ya Wapinzani?.- Juzi nilikutana na mbunge mmoja wa Chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!
Le Mutuz System
- Juzi nilikutana na mbunge mmoja wa Chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!
Le Mutuz System
- Juzi nilikutana na mbunge mmoja wa Chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!
Le Mutuz System
Nape Nnauye,
Ungefafanua hiyo hongera ni kwa maslahi ya nani.
Wengi tulidhania kwamba ukimya wako umetokana na wewe kusoma alama za nyakati na kuamua kukaa pembeni na kuacha constitutionalism ifuate mkondo wake, kumbe bado una mtazamo ule ule, na bado haujifunzi. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Vijana huko juu mnatuangusha sana. Sijui mnataka kurithi chama kilicho vurugwa na wazee ili mlifanyie taifa kitu gani. Tanganyika inarudi, na nitakukumbusha hili. Sijui tutakuamini kwa lipi kukushirikisha katika ujenzi wa Tanganyika yetu itakayozinduliwa, kwani haikufa bali imewekwa chini ya zulia Lumumba.
Even a magician runs out of tricks, na hampo mbali katika hilo. Tuombee uzima tu.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!
Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!
Mkuu pole na majukumu tukiweka ushabiki wa vyama pembeni wanachokipigania Ukawa ni maoni ya watanzania yaheshimiwe.Kimsingi wanaumia ni kwa jinsi gani wananchi walitoa maoni yao kisha huku mnayaweka pembeni theni mnakuja na maoni mapya.Kwa nini haya maoni mnayoyatoa sasa msingeyapelaka kwa tume iliyoundwa chini ya uwenyekiti wa Warioba.Ukisoma tamko la maaskofu wanazungumzia maoni ya wananchi yaheshimiwe ndivyo. Mkuu naomba kunukuu katiba ya Jamhuri ya MUUngano wa Tanzania ibara ya 8.Inasema hivi Jamhuri ya muungano wa tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii na kwa hiyo-
a) wananchi ndio msingi wa mamlaka yote na serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa katiba hii
b)lengo kuu la sertikali itakuwa ni ustawi wa wananchi
C)serikali itawajibika kwa Wananchi
d)wananchi watashiriki katika shughuli za serikali yao kwa mujibu wa masharti ya katiba hii
hivyo basi sina budi kusema maoni ya wananchi yazingatiwe kama jinsi walivyotumia haki yao kikatiba kutoa maoni yao kama ilivyo katika ibara ya 18 a) inayosomeka kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake.
Lazima huyo CHADEMA atakuwa Shibuda.