Masikini UKAWA

Masikini UKAWA

Mkuu pole na majukumu tukiweka ushabiki wa vyama pembeni wanachokipigania Ukawa ni maoni ya watanzania yaheshimiwe.Kimsingi wanaumia ni kwa jinsi gani wananchi walitoa maoni yao kisha huku mnayaweka pembeni theni mnakuja na maoni mapya.Kwa nini haya maoni mnayoyatoa sasa msingeyapelaka kwa tume iliyoundwa chini ya uwenyekiti wa Warioba.Ukisoma tamko la maaskofu wanazungumzia maoni ya wananchi yaheshimiwe ndivyo.

Mkuu naomba kunukuu katiba ya Jamhuri ya MUUngano wa Tanzania ibara ya 8.Inasema hivi Jamhuri ya muungano wa tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii na kwa hiyo-
a) wananchi ndio msingi wa mamlaka yote na serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa katiba hii
b)lengo kuu la sertikali itakuwa ni ustawi wa wananchi
C)serikali itawajibika kwa Wananchi
d)wananchi watashiriki katika shughuli za serikali yao kwa mujibu wa masharti ya katiba hii

hivyo basi sina budi kusema maoni ya wananchi yazingatiwe kama jinsi walivyotumia haki yao kikatiba kutoa maoni yao kama ilivyo katika ibara ya 18 a) inayosomeka kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake.
 
Naona kama umechanganyikiwa jamaa yangu,waambie na wenzako MaCCM kuwa,TANGANYIKA +ZANZIBAR=TANZANIA,hivyo utoto wenu na UONGO wenu na Nyerere (MUNGUMTU wenu),ulioduma kwa miaka 50 hatuutaki tena,au Serikali 1, au Serikali 3 hakuna porojo ingine.
 
Nape Nnauye,

Ungefafanua hiyo hongera ni kwa maslahi ya nani.

Wengi tulidhania kwamba ukimya wako umetokana na wewe kusoma alama za nyakati na kuamua kukaa pembeni na kuacha constitutionalism ifuate mkondo wake, kumbe bado una mtazamo ule ule, na bado haujifunzi. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Vijana huko juu mnatuangusha sana. Sijui mnataka kurithi chama kilicho vurugwa na wazee ili mlifanyie taifa kitu gani. Tanganyika inarudi, na nitakukumbusha hili. Sijui tutakuamini kwa lipi kukushirikisha katika ujenzi wa Tanganyika yetu itakayozinduliwa, kwani haikufa bali imewekwa chini ya zulia Lumumba.

Even a magician runs out of tricks, na hampo mbali katika hilo. Tuombee uzima tu.
Nguruvi3, Mag3, FJM

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
- Juzi nilikutana na mbunge mmoja wa Chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!

Le Mutuz System

Lazima huyo CHADEMA atakuwa Shibuda.
 
Nape jibu hoja: CCM mnadai mngependa kuwa na Serikali moja mbona hamdai? Mnasema mnataka Serikali 2, kwa mujibu wa Hati ya Muungano Serikali hizo mbili ni ya Tanganyika na Zanzibar, Serikali ya Muungano haitambuliki. Kwa hiyo mnataka kuvunja muungano? Mnadai kuwa watu waliopendekeza Serikali 3 ni wachache, Je wanaotaka serikali mbili ni wangapi? 17,000 na 600 wapi wengi?
 
- Juzi nilikutana na mbunge mmoja wa Chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!

Le Mutuz System
Hivi wananchi mnaowasemeaga wanaishi wapi?Manake naona sisi wananchi kama vile tuna nchi mbili vile? ya CCM na ya Wapinzani?.
 
CCM mnakataaa maoni ya wananchi alafu mnaleta ya kwenu ilimuyatumie kumuongoza nani?

Wewe kaa tu kushabikia ujinga wa chama chako, utakutokea puani siku moja. Nashangaa kwanini hamjifunzi, katika mchakato huu wa katiba 'Rahisi' wenu amesha wakatalia maamzi yenu (wabunge wa CCM) mara kibao lkn leo mnaendelea kulete ujinga uleule.

Sasa nahisi mtakuwa mnafikiri kwakutumia mak...........
 
- Juzi nilikutana na mbunge mmoja wa Chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!

Le Mutuz System

Hivi kwanini unatakaga kutuletea mambo ya bar hku nani kakuambi sisi ni walevi wenzako we umekutana na mlevi mwenzako wote mkiwa mmewlewa sasa sisi mambo ya kilevi wapi na wapi ulizaliwa siku gani?
Na sehmu gani ?
Wakati mama yako amekuweka tumboni alikuwa anatumia kinywaji gani?
Coz ninashindwa kutambua mawazo yako yapo kipombe pombe ?
 
Mkuu pole na majukumu tukiweka ushabiki wa vyama pembeni wanachokipigania Ukawa ni maoni ya watanzania yaheshimiwe.Kimsingi wanaumia ni kwa jinsi gani wananchi walitoa maoni yao kisha huku mnayaweka pembeni then mnakuja na maoni mapya. swali la kujiuliza ni kwa nini haya maoni mnayoyatoa sasa msingeyapelaka kwa tume iliyoundwa chini ya uwenyekiti wa Warioba.Ukisoma tamko la maaskofu wanazungumzia maoni ya wananchi yaheshimiwe ndivyo. Mkuu naomba kunukuu katiba ya Jamhuri ya MUUngano wa Tanzania ibara ya 8.Inasema hivi Jamhuri ya muungano wa tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii na kwa hiyo-
a) wananchi ndio msingi wa mamlaka yote na serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa katiba hii
b)lengo kuu la sertikali itakuwa ni ustawi wa wananchi
C)serikali itawajibika kwa Wananchi
d)wananchi watashiriki katika shughuli za serikali yao kwa mujibu wa masharti ya katiba hii

hivyo basi sina budi kusema maoni ya wananchi yazingatiwe kama jinsi walivyotumia haki yao kikatiba kutoa maoni yao kama ilivyo katika ibara ya 18 a) inayosomeka kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake.
- Juzi nilikutana na mbunge mmoja wa Chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!

Le Mutuz System
 
Nape umewashika pabaya, sasa wanatapatapa.
Nape goo gooo goooo, mpaka waishiwe maneno!
 
Nape Nnauye,

Ungefafanua hiyo hongera ni kwa maslahi ya nani.

Wengi tulidhania kwamba ukimya wako umetokana na wewe kusoma alama za nyakati na kuamua kukaa pembeni na kuacha constitutionalism ifuate mkondo wake, kumbe bado una mtazamo ule ule, na bado haujifunzi. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Vijana huko juu mnatuangusha sana. Sijui mnataka kurithi chama kilicho vurugwa na wazee ili mlifanyie taifa kitu gani. Tanganyika inarudi, na nitakukumbusha hili. Sijui tutakuamini kwa lipi kukushirikisha katika ujenzi wa Tanganyika yetu itakayozinduliwa, kwani haikufa bali imewekwa chini ya zulia Lumumba.

Even a magician runs out of tricks, na hampo mbali katika hilo. Tuombee uzima tu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kwanza nikupe HONGERA ya kuwa bado unaimani na CCM na unania na malengo ya kuirudisha ile CCM ya Mwalimu hongera kwa hilo pia.Lakini ninakuonea huruma pia kwani VIJANA wenzako wengi wamegubikwa na kupenda RUSHWA na pesa za harakaharaka hawata kuunga mkono,lakini tunakuombea mema ili uiokoe CCM ya Mwalimu.

Ikibidi gombea uongozi ili upate kuwafufua vijana wenzako ili wafikirie kama unavyofikiri wewe kwamba UTAIFA kwanza haijalishi chama gani upo.
 
Baada ya kupoteza mvuto kwa wananchi, wakaamua kuunda UKAWA kwa kusudi la kutengeneza mipango ya kupata huruma ya wananchi na hatimaye kurudisha mvuto. Matokeo yake karata hiyo imewageuka na kuwamaliza kabisa. Kumbe wamerudi bungeni!!!!!! CHEZEA POSHO WEWE!
 
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!

Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!

A short minded politician to ever walk on this planet.You should take your politics lessons from Kenya,A NARC study case,Maybe will help to make you finally realize a new political alliance of CHADEMA,NCCR & CUF will take our country's politcs by storm.It will be a political force to be reckoned with,Watch out Nape,Christians and Muslims are joining forces to fight against CCM oppressors,No more divide and rule tactics coz it won't work this time around,We already know that we have the same enemy,Muslims enemy is Christians enemy too.
 
Moja Pole sana Nape kwa kujenga hoja dhaifu sana labda hujitambui vyema
Pili Mliibuka na kumuenzi Nyerere na Karume kwenye midomo na sio kwenye matendo,
Tatu Woga wenu ndio tunao wangamiza nao nasio vingene kabisa.
 
Mkuu pole na majukumu tukiweka ushabiki wa vyama pembeni wanachokipigania Ukawa ni maoni ya watanzania yaheshimiwe.Kimsingi wanaumia ni kwa jinsi gani wananchi walitoa maoni yao kisha huku mnayaweka pembeni theni mnakuja na maoni mapya.Kwa nini haya maoni mnayoyatoa sasa msingeyapelaka kwa tume iliyoundwa chini ya uwenyekiti wa Warioba.Ukisoma tamko la maaskofu wanazungumzia maoni ya wananchi yaheshimiwe ndivyo. Mkuu naomba kunukuu katiba ya Jamhuri ya MUUngano wa Tanzania ibara ya 8.Inasema hivi Jamhuri ya muungano wa tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii na kwa hiyo-
a) wananchi ndio msingi wa mamlaka yote na serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa katiba hii
b)lengo kuu la sertikali itakuwa ni ustawi wa wananchi
C)serikali itawajibika kwa Wananchi
d)wananchi watashiriki katika shughuli za serikali yao kwa mujibu wa masharti ya katiba hii

hivyo basi sina budi kusema maoni ya wananchi yazingatiwe kama jinsi walivyotumia haki yao kikatiba kutoa maoni yao kama ilivyo katika ibara ya 18 a) inayosomeka kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake.

Upo sahihi sana Mkuu! Nchi inaongozwa na wenye uwezo mdogo! Hakukuwa na haja ya kuunda Tume na kukusanya maoni. Hakukuwa na Haja ya kukarabati ukumbi wa Bunge na kujaza wajumbe wa kuwalipa 300K. Tungeweka viraka katiba iliyopo kwa kutumia utaratibu wa kawaida. Yani wasomi wamefanya kazi kwa miaka 3 na kuja na mapendekezo wajinga wanatumia wiki 2 kubadili kila kitu
 
Subiri kidogo utauona moto wa UKAWA! Maana tunakaribia kuuchoka uccm wa polisi. Mnataka kutoka madarakani mmeipiga nchi hii kiberiti! Mlaaniwa ninyi mafisadi!!!
 
Back
Top Bottom