Masikini UKAWA


Pitisheni haraka hiyo rasimu ya siri ya CCM maana sasa wakati umefika kwa wananchi kuchukua hatua dhidi ya CCM.
 
Nape uko sahihi ongezea na hii.
Ukawa walia na mwigulu nchemba,waanza kuerejea bunge la katiba
Viongozi na wafuasi wa UKAWA mamlalamikia Mwigulu Nchemba kwa kufuta posho zao.


Siku chache baada ya Naibu Waziri wa fedha kufuta malipo ya wabunge waliosusia vikao Dodoma, kundi hilo limemrushia maneno makali Mwigulu kwa Kitendo chake cha kuwafutia malipo yao. Paparazi wetu aliyekwepo kwenye hafla fupi ya kuzaliwa kwa mtoto wa Mbowe aliyezaa na mbunge wake wa Viti Maalumu Joyce Mukya walisikika wakisema "huyu jamaa dikteta sana sijui Kikwete alimtoa wapi,Waziri gani anaingilia mambo ya Fedha za Bunge? Anawaza kimasikini kila wakati, tazama ilikuwa tulipwe laki 8 kwa siku bunge lote la katiba, pia wenzake walipanga mwishoni watulipe milioni 5 kila mbunge kama gratuity yeye alipoteuliwa tu kikao cha kwanza akimwakilisha waziri akaifuta ile milioni 5 na akakata posho tokea laki 8 hadi upuzi huu wa kulipana laki 3 kama wanafunzi.


Ametufanya tuishi maisha ya shida. Pia viongozi wenzake walishakubali kuongeza walau iwe laki 7 akakataa tena akawatolea lugha ya kidikteta mpaka wabunge wenzake wa ccm kuwa wanaona laki 3 ni ndogo waondoke" Mwigulu alikemea wabunge waliokuwa wakidai nyongeza ya posho tokea laki tatu hadi saba na kusema Wajumbe wa Bunge la Katiba hawajakodishwa tokea kenya au uganda au ulaya kuja kututungia katiba,Wanatunga Katiba ya Nchi yaoi wajibu wao. Aliendelea Kusisitiza katika nukuu zake kwa Vyombo vya Habari kuwa " Mnatimiza wajibu wenu. Ninyi sio consultants wa kukodiwa. Mko sawa na mfugaji anayelisha mifugo yake, sawa na mkulima anatetunza shamba lake au muuza duka anayeuza duka lake.
Anayeona hapa hapati hela anapoteza muda kwa heshima zote afungashe mizigo yake aondoke kesho"alisikika Mwigulu. Wiki iliyopita wajumbe wa CHADEMA NA CUF kabla ya Kususia Bunge walisaini fedha ya tar 16 hadi 30 karibu nusu mwezi huku tar 17 wakajitoa kwenye bunge hilo wakijua bunge limeshapeleka hizo hela benki,Jambo ambalo limetajipambanua kuwa ni Ukosefu wa Uzalendo na jambo la Kupanga kunufaika na Fedha za Umma kwa njia ya Wizi. Mapema baada ya Wanaojiita UKAWA kususia Bunge Maalumu la Katiba,Mh:Mwigulu ambaye ni Naibu Waziri wa Fedha aliagiza Wajumbe wa Bunge kukusanya saini upya na kufutilia mbali malipo ya awali waliopeleka benk. Harakaharaka mwigulu akaagiza benki kurudisha cheki zote bunge zikaandikwe upya.


Mwigulu Nchemba alikwenda mbali zaidi kwa Kusema,Kupitia Mwenyekiti wa Bunge,Rais atengue Uteuzi wa Wajumbe waliosusia Bunge la Katiba,Pia kwa Wale Watumishi wa Serikali waliokuwa Wajumbe wa Bunge la Katiba na hatimaye Kujitoa na UKAWA Waangaliwe Utumishi wao na Ikiwezekana Serikali itoe adhabu stahiki kwa Walengwa mbali na kusimamishwa kazi kwa Muda usio Julikana. Kufuatia hatua hiyo kwa nyakati tofauti Wajumbe wa UKAWA wamemlaumu Mwigulu kuwa amesababisha pasaka iwe mbaya kwao. Huyu jamaa utadhani tunalipwa hela zake au hela za CCM. Kwani zake? Kwani za CCM? MJINGA KWELI. HIVI KWANINI ASIFE HUYU? ALISIKIKA MBUNGE MMOJA WA CHADEMA Mwenye tabia ya maahasira huku akiungwa mkono na wenzake.


Baadhi yao waliwalaumu viongozi wao kwa kusema hakukuwa na sababu ya msingi ya kususa Bunge la Katiba kwa sababu Huruma ya Wananchi waliyoitegemea imekuwa kinyume chake. "Hapa kiukweli tumejichora. Kumbukeni mwigulu alisema tuna tafuta kujitoa na tunafanya njama ya kuharibu mchakato". Wakati huohuo ikumbukwe Mh:Mnyika baada ya Kushitukiwa kuwa walikuwa na lengo la Kuvuruga Mchakato wa Bunge la Katiba akakanusha akasema Watakuwa wa mwisho kususa bunge au kujitoa au kuvuruga mchakato. Sasa yanefika wapi? Sijui viongozi wao wamesahau? Inakera kweli.


Kwa taarifa za awali hadi sasa Wajumbe 15 wa wanaotoka kundi la 201 wamerejea Bungeni hii leo na Wapo Wajumbe wa CUF klutoka Zanzibar wanajipanga kukutana na Viongozi wao kuomba kurejea kwenye Bunge hilo.
Unlike
You like this.
 

Haya nenda kachambe
 

Kama IQ yake ingekuwa robo tu ya IQ ya Prof. asiyekuwa na Wizara Maalum basi angeelewa ulichomwandikia nadhani huyu ni siko la kufa halisikii dawa tena. Amekubali kutumiwa tu kama spika, anapiga kelele kama mwehu.
Halafu akumbuke bado amesajiliwa CCJ na hajatoka hadharani kukanusha hiyo...
 

Daniel katoa ufafanuzi mzuri tu. Wewe unapotosha. Halafu unapenda media. Nani hajamwelewa Daniel labda wewe tu.
 

Ona hili kubwa jinga umemuona Nape hapa unabwabwaja kama nini, unavizia ubunge pale mtera sio? Kwataafa yako ukifanikiwa kumvugia Kibajaj a.k.a Mitusi. Kuna kijana makini toka cdm hutafanya lolote wewe endelea kulamba miguu ya kina Bulembo ubunge hupati n'gooo!

BACK TANGANYIKA
 
Nape unachofurahia ni nini sasa chama chako kinaleta upuuzi kwa nchi hii mumeigeuza kuwa chaka la walanguzi kijana huna adabu hata kidogo jiangalie kwanza ulivyo mlopokaji. Naamini ipo siku nyie watu mtaomba kusikuche
 
Huyu Ndiye msemaji wa CCM na propaganda na kipumbavu kama chama chake
 
Tulishasema kuwa toka mwanzo kuwa hii ndoa ya UKAWA ni ya Mkeka
 
kwnn 2nam2mia olouch km chambo? Kimsingi km alivyojieleza bungeni ndivyo ilivyokuwa! Bas hapaswi kulaumiwa kwa kurudi kwake bungeni unles 2msubili msemaji wa UKAWA aseme km kweli jamaa alikuwa upande wao au la! Ila si busara kusema UKAWA imekufa wakati bado wanapambana! Unapoipinga UKAWA ni dhahiri kuwa unapinga maoni ya wananchi. Awali mlikuwa mkimtukana warioba na 2me yake, sasa mmewageukia UKAWA mnakoelekea mtagombana wenyewe! ''Mwenye masikio na asikie''
 
Jamani ninyi watoto wa vionvozi wa ccm waoneeni huruma watanzania,mnayoyafanya tunajua mnatetea kula na wazazi wenu,Sasa badilikeni kabla hatuaanza opération ya kuwasaka.
Mnatulazimisha watanzania kuchukua maaluzi magumu.Mwisho Wa siku dhambi hiyo mnayofanya haisameheki
 
Nape Nnauye huwa unapata raha sana kujitekenya na kucheka eeh?

Nenda darasani (sijui utaipata wapi shule hiyo) ukachukue kitu kiitwacho hekima kwani ingawa mtu hupewa bure na Mwenyezi MUNGU kwako haijafika.

CCM wana hasara sana kuwa nawe!
 
Last edited by a moderator:
sasa kama unatambua hilo ni kwanini usifurahi huku mkiendelea kutunga ilani ya ccm
 
UKAWA ni sawa na waasi wa fdlr au interahamwe lakini wao hawana nyenzo hata moja kuanzia silaha na hata rasilimali watu hivyo limekuwa ni kama genge la wendawazimu waliopandwa na mapepo.

R.I.P UKAWA
 
taabu kwa wale waliobaki bila sababu wanakula posho bila sababu ya msingi wasaka tonge kwasababu hawawezi kupitisha chochote
 
Ukombozi wa nchi si lelema
wachumia tumbo watanunuliwa na ccm wote.
propaganda za ccm tushazizoea
 

hapa hata shigongo hafikiii
ni heri ukaajiriwe,rj co ya ray
 
Licha ya kuwa nje ya bunge bado mnazodolewa na mawakala wa shetwani CCM, kinachoonekana ni kurushiwa madongo na kashfa na nyinyi mumekaa huko na hampangui hoja zao na CCM wanatumia mwanya huu kuwapatia, sasa kama mjuavyo watanzania bado ni giza tupu wanaamini haraka na mwisho wanakosa msimamo na kuamini CCM tena sasa mnaitwa BAFUNI je mtarudi humu au mnaona aibu mkirudi matusi mtayanywa kama juice na mimi naamini hawa watu watatunga katiba CHADEMA nawaombeni kuweni makini sana msipotee kwenye upinzani wa nchi hii nasema hivi UKAWA itawameza.
 
Huna jipya nape nauye maana nyie ni wanyonyaji sasa kilichopo tungeni katiba yenu sisi tunajipanga kuingia mitini km kongoooo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…