- Childish!!
Le Mutuz System
If we are to find a child in this forum, I believe you are a dumbest kid here.
This of course is drawn from your 'Childish comments', relative to your age.
ptuuuuuuu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Childish!!
Le Mutuz System
Cheap propaganda,from an old baphoon...- Juzi nilikutana na mbunge mmoja wa Chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!
Le Mutuz System
Kina Nape,
Wanadhania ushindi wa 2/3 upande wa "bara" kura ya maoni, hivyo kufanya bao 1-0 ndio ushindi wa msimao wao. Wanadhania kura ya maoni itaangalia wingi wa kura (grand total) kama uchaguzi wa rais wa Muungano. Hawajui kwamba ushindi kamili utahitaji pia washinde 1-0 upande wa zanzibar yani 2/3 pia kuungwa mkono upande ule. Hilo halitatokea, upande wa zanzibar mtapigwa 1-0 serikali tatu hivyo matokeo kuwa 1-1. Na hawajui madhara ya matokeo haya ni nini kwa CCM na muungano kwa ujumla. Mbaya zaidi, hawajui matokeo yatakuwa haya haya hata kama:
1. Polisi watafanikiwa kuzuia mikutano yote ya UKAWA mpaka siku ya kura ya maoni.
2. Hata kama chadema itakufa kesho na kupotea kabisa katika siasa za Tanzania.
Hoja ya Tanganyika ilianzia humo humo CCM, tena ikiletwa na makamu mwenyekiti wa CCM Taifa (Aboud Jumbe) 1983. Hapakuwa na chadema wala ukawa. Na nchi ilikuwa chini ya chama kimoja (CCM).
Hoja ya Tanganyika ikaendelea na tume mbalimbali zilizoteuliwa na marais. Hapakuwa na chadema wala ukawa.
G55 - kundi la wabunge, wote walikuwa ni CCM. Na hapakuwa na ukawa wala vyama vingine vya siasa nchini. Rais wa Jamhuri ambae pia ni Mwenyekiti wa CCM wakati ule (Mwinyi), makamu mwenyekiti na waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais (Malecela), katibu mkuu ccm taifa (Kolimba), wote waliridhia serikali tatu. Malecela kama kiongozi wa serikali bungeni, bunge 100 pct CCM, akafanikisha hoja ya Tanganyika ipite. Waziri wa Sheria na Katiba wakati ule (Samuel sitta), akaanza mchakato wa kura ya maoni kabla ya Nyerere kuingilia.
Mwalimu angekuwa hai leo, asingeizuia Tanganyika kwani aliamini katika ccm imara, ccm yenye ushawishi mkubwa, ccm inayolinda katiba ya nchi. Leo znz wamevunja katiba ya nchi, leo ccm sio imara tena na wala haina ushawishi mkubwa tena, kwani upinzani umeshamiri. Chini ya mazingira haya, katiba ya nchi haiwezi tena kuwa ni sera ya chama cha siasa.
Mwalimu aliwahi sema kwamba "yapo ya maana na yapo ya kijinga aliyofanya katika uongozi wake". Hakika, hili la serikali mbili lilikuwa ni la kijinga (kwa kuazima maneno yake). Na akaenda mbali na kusema kwamba anashangaa viongozi waliomfuata, badala ya kuachana na ya kijinga na kuendeleza ya maana, wao wanaacha ya maana na kuendeleza ya kijinga.
Nape Nnauye, acheni kuendeleza yale ya kijinga kama serikali mbili nyakati hizi. Endelezeni ya maana - boresheni azimio la arusha liendane na mahitaji ya leo, sio kuboresha serikali mbili. Hilo ni la kijinga kabisa.
Kwa maelezo haya, nadhani ni dhahiri kwa nape kwamba kwa kushambulia UKAWA, Chadema, "he's barking at the wrong tree".
Tanzania Kwanza, Tanganyika Kabla.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
niliwahi kusema nikiwa kigoma kuwa ukawa ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni ukawa wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa ukawa. Sasa wamebaki chadema,nccr na cuf tena si wote!
Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera olouch!
Kweli masisiem ni kisima cha umbeya na unafiki haijalishi mwanamme wote ni kama wanawake.- Juzi nilikutana na mbunge mmoja wa Chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!
Le Mutuz System
duh kweli ile combination inawachanganya.kama unaona cuf na nccr wanapotea si ufurahi maana upinzani unakufa.cha
ajabu umekua consultant
+Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!
Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!
Ukawa wanataka kuwaeleza nini wananchi wasichokijua? ila wanajua kuwa walichaguliwa kutengeneza katiba bungeni wala siyo uzurura majukwaani
Usiseme hukumitaani ila utaje mtaa walk maana co Mitaa yote inachukia ukawaHawa ukawa tushawajua sana hawana jipya tena la kutueleza wakalale nyumbani kwao huku mitaani hata wasitie mguu kabisa.
- I hope huu muungano utadumu maana tunayoyasikia huku mtaani watabaki Chadema peke yao,!!
Le Mutuz System
If we are to find a child in this forum, I believe you are a dumbest kid here.
This of course is drawn from your 'Childish comments', relative to your age.
ptuuuuuuu.....