Masikini UKAWA

Ndugu Nape nitaweza kuamini maneno yako endapo utatuthibitishia utekelezaji wa kauli zako kama ya siku 90 za kuvua magamba, Mawaziri wako mizigo wote wamerudi badala ya kuwajibishwa kulingana na kauli zako mwenyewe, Utekelezaji wa daftari la maadili kwa viongozi walio chini ya chama tawala, na zinginezo ulizowahi kutuahidi ikiwa ni pamoja na kuwashughulikia mafisadi. Vinginevyo nawe ni mzigo kama mizigo mingine ndani ya Taifa hili.
 
- I hope huu muungano utadumu maana tunayoyasikia huku mtaani watabaki Chadema peke yao,!!

Le Mutuz System

Dawa ya yote haya ni baadae kuunda serikali moja tu...ili wanaotaka kujitenga wajitenge vizuri. Serikali tatu tutauzika muungano. Itakuwa aibu yetu kubwa mana tutashindwa kama wengine walivyoshindwa.
 
acheni longolongo sikilizeni mipasho live tbc wanapashana wenyewe tu na wapambe wao kina lyatonga. naskia lyatonga cheki yake imeiva baada ya miaka 20 ya kusubiri sasa ndio inaandaliwa kutolewa na lukuvi.
 
Hawa ukawa tushawajua sana hawana jipya tena la kutueleza wakalale nyumbani kwao huku mitaani hata wasitie mguu kabisa.

Mkuu,what do u do for a living? I mean kwa siku ni muda gani unautumia kujitafutia mkate,or should we believe wanaosema ni buku 7 from Lumumba? Honestly unaboa sana na vicheap post vyako kila thread.
 

NEPPI unayotaarifa kuwa LOWASSA amejipanga kukuvurugaaa!!! suburi atakuwa mjengoni ndio utajua hii habari
 
Hawa ukawa tushawajua sana hawana jipya tena la kutueleza wakalale nyumbani kwao huku mitaani hata wasitie mguu kabisa.

acheni longolongo sikilizeni mipasho live tbc wanapashana wenyewe tu na wapambe wao kina lyatonga. naskia lyatonga cheki yake imeiva baada ya miaka 20 ya kusubiri sasa ndio inaandaliwa kutolewa na lukuvi
 

Watanzania wa leo siyo wale wa jana.CCM wanajua kuwa bila Upande wa pili wa Zanzibar hakuna Katiba na ni lazima upande wa pili wakubaliane nao vinginevyo hakuna Katiba itakayo kuwa halali,ni sawa na kusema wanajifurahisha kuhalalisha kupokea pesa tu.
 

- Kaka kweli unaamini CCM haikujua kwamba UKAWA watajitoa bungeni kweli unaamini hilo? Na unaamini kwamba baada ya kujua kuwa watajitoa hawakuwa na plan b inayoendelea sasa hivi? Wanasema wamejitoa bungeni mbona wanalia lia nje na kufuatilia bunge?

- Ebo ndani ya bunge kuna 2/3 katiba itapitishwa kama ilivyopangwa unasema tumetumia Billioni 90 for nothing? Are you kidding me or what?

Le Mutuz System
 

ukawa inaundwa na cdm,cuf,nccr na mtikila sasa nashangaa unapotofautisha cuf na ukawa
 

Unao uhakika na 2/3 kwa upande wa Zanzibar? Maana ni kweli upande wa Tanganyika hiyo 2/3 inafahamika ipo tokea awali lakini ngoma iko kule bwana! Na kulingana na sheria waliyojiwekea lazima hesabu hiyo ipatikane kwa pande zote mbili za muungano.Anyway, sidhani kama hata kama hii katiba itabadilishwa rasimu yake na kupita ni jambo la kufurahisha, maana mkuu jambo hili linapaswa kuwa la maridhiano kuepusha kuonekana kuwa katiba yetu mpya ni ya kundi fulani.
Na kwa ushauri wangu ni kuwa hawa viongozi wa Chama ambacho wajumbe wake wengi wamebaki bungeni kutumia busara katika matamko yao na kujiepusha na kejeli.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kwa taarifa yenu , upinzani ni Demokrasia tuu ndio inayowapa haki ya kutunga katiba lkn ccm inauwezo wa kufanya kila kitu na katiba ikatoka nzuri kabisa ,
 
Ni mmoja kati ya viongozi wakubwa wa chama tawala ambacho wananchi wameweka matumain yao kwa hicho chama, huduma zote za kijamii ni mbovu, 'maisha magumu' ni wimbo wa taifa kwasasa, huyu kiongozi yupo bize kufuatilia upinzani, sis wananchi utatukomboa kweli? bei za umeme na huduma mbalimbali zinapopanda huwa sikuoni humu hata kutoa pole.., ayaa endelea hii nchi si ya kifamilia, lakin kumbuka siku hizi hata watoto wa bibi kule kijijin wapo vyuo vikuu hawatakubali kuendelea kukanyagwa na nyinyi., kutwaaa ukawa, ukawa, ukawa, ukawa...ndo nini... mafisadi na wala rushwa hamuwaimbii kiasi hiki....,
 
- I hope huu muungano utadumu maana tunayoyasikia huku mtaani watabaki Chadema peke yao,!!

Le Mutuz System
CHADEMA si ukawa, mimi wewe na yule sote twajua hivyo. Labda unaihusisha CHADEMA ili uonekane kuwa na wewe upo busy.
Just cut short na useme "Maana kwa jinsi tunayoyasikia tpoka huko juu na kwa maelezo tunayopewa, inaonekana wananchi watabaki peke yao"
 
O. MR. SAMWEL SITTA & OTHER LEADERS IN TANZANIA
conflict is a fact of life; conflict has value in organizations because it: 1. spotlights problems that require attention 2. forces clarification 3. can invigorate leaders to strive for permanent solutions 4. directs the efforts or the organization toward finding solutions 5. counteract lethargy that can overtake organizations 6. challenges old habits and restores dynamic creativity that existed during the organization's formative stages 7.stimulates interest and curiosity.
conflict is the gadfly of thought it stirs us to observation and memory. it instigates to invention. it shock us out of sheep like passivity, and set us at noting and contriving....Conflict is a sine qua non of reflection and ingenuity.
sources of conflict; conflicts occur in every part of life. but why? the six common are; 1. Perceptual differences. 2. Priority of value differences. 3. Different expectations or role pressures. 4. Divergent goals. 5. Self-esteem or status threat. 6. Personality clashes.
skills for resolving conflict; In any conflict between two parties, the approach and style for resolving conflict depends upon; assertiveness;. when important goals are at stake, leaders need to show assertive actions in pursuing the organization's view, needs, and goals. if the results have little importance, effective leaders wisely withhold assertive action.
responsiveness;. how highly leaders (or groups) value the views, needs, and goals of the other party and the keeping of a good relationship with them, determines the level of response. leaders need expertise in these two skills (assertiveness and responsiveness) both in resolving conflict situations and in dealing with people in general.
To summarize; Through non-assertive (submissive) behavior people usually hurt themselves by their own self-denial. If they have an overly developed ‘’polite’’ response, they lose the right to act as they would like to, are unable to express their true feelings, and usually do not achieve their goals.
Through aggressive behavior, people usually achieve their goals by hurting or infringing on the rights of others. This results in vengeance and hatred from others and makes them feel anxious.
Though assertive behavior, people usually achieve their goals without hurting others’ rights and feelings, or foregoing the expressing of their own opinions. Assertive behavior enhances self and gives honest expressions of feelings and viewpoints.
Self-assertion leads to;
i) Increased self- respect
ii) Increased respect others
iii) More control over life
iv) More influence on external events
v) Greater freedom from pressures or others’ opinions
vi) More flexibility in interactions with others
vii) More inter-personal power
viii) Enhanced inter-personal skills and less manipulation by others.
Define the conflicting issue; it make no more sense in getting the right solution to wrong issue, that in getting the wrong solution to the right issue. If you cannot agree on the conflicting issue, you will not agree on the solution.
 
Sasa ninaamini kuwa kweli Ulipata Div IV ya point 29, ukiwa na F ya Civics. Sijui CCM wanatumia vigezo gani kuteua watu wa kushika cheo chako?
Hivi ni kweli Nape hayo ni matokeo yake?
 

Si utaje tu kwani unaogopa nini kaka, maana siku hizi kila kitu hadharani, hata hati ya muungano nayo hadharani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…